Tena ni wapuuzi kwelikweli.Usidhani eti kwa kuwa ni wabunge wa EU hawawezi kuwa wapuuzi.Wale ni binaadamu tunatofautiana rangi tu.Eti kwa sababu wanatoa misaada ndiyo wachukue na utu wetu.Kwa staili hiyo pamoja na hiyo misaada yao hawana adabu.Ila kabudi hyo wizara imemshinda uwezo na akili kulikuwa Kuna haja gani kuwaita hao wabunge wa EU wapuuzi wakati EU michango yake kwa taifa ni muhimu, ni Bora hyo wizara ingempata January Makamba naona anafaa ana exposure flani hivi.