Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Wewe ni pimbi kabisa, yaani hata ufanyeje ni ujinga kudhani tutakuona wa maana kuzungumzia negatively mzungu ambaye huko kwao ameaminika mpaka Akaingia bunge la EU, wakati wewe unasugua makalio hata utendaji wa Kijiji, let alone Ubunge wa hata East Africa ni ndoto. Wenye akili wote wamemsikia akihoji mambo ya msingi kwenye bunge lao kwa maslahi ya walipa kodi wao, wewe baki hapo hapo na akili zako za kushikiwa.
Hivyo wewe unawaona wazungu wana akili kweli? Wangekuwa na akili wangemchagu mtu kama Trump kuwa Rais wao au Boris Jonson waziri mkuu uingereza?

Kama huelewi basi nakuambia sasa kuwa wazungu wako so desperate. Hivi sasa hawaelewani. Ni wewe tu mkoma unafikiri wao wanamaana.

Jiulize kwanini Penner kama huyo wa bunge la Ulaya awe in charge for Africa? Kwasababu ya watindiga kama wewe. Kwa vile vichaka kama nyie mnao wasujudu wazungu mpo, ndiyo maana hata Penner kama huyo analetwa kwetu. Wazungu wenye brain hawawezi letwa kwenye mataifa kama yetu, wanabaki kwao kufanya mambo ya kimaendeleo kwenye nchi zao.

Penner kama huyu bila hata evidence anatoa matamshi ya uongo na kuamini kuwa anatoa Statement ya ukweli ambayo inastahili kusikilizwa. Ni majuha tu kama wewe wanaona ni Statement sahihi.

Yaani ulivyo kuwa na akili finyu unashindwa kutambua mchezo unaochezwa na hawa mapenner?

Look! Tundu Lissu amekwenda Ubelgiji kwa madai eti anakwenda kutibiwa. Akiwa Ubelegiji mara ni mkimbizi wa kisiasa. Anapelekwa ulimwengu mzima kumchafua Rais wetu wa nchi na Taifa letu ili aonekane kuwa ni dictator.

Ok. Mkimbizi wa kisiasa anarudi kwa hiari yake kuja kugombea urais wewe bado unakubali na kuona sawa bila kujiuliza inakuwaje mtu ambaye anadai anataka kuuawa anarudi kwenye nchi anayotafutwa.

Ok. Anafanya kampeni za uchaguzi akipewa ulinzi kwa kodi za watanzania. Anamaliza uchaguzi na kupigwa vibaya sana na watanzania. Huyo huyo anadai anatishiwa, lakini hataki kueleza nani anamtishia.

Ok. Anajaribu kukimbilia Ubalozi wa Ujerumani, lakini ubalozi wa ujerumani kwanza wana kataa kumpokea. Polisi wetu wema na wakarimu ambao mda wote wamekuwa wakimpa ulinzi kwenye kampeni zake za uchaguzi huku akiwatukana, walimfuata huko kumsaidia ndugu yetu, hayo majambazi ambayo wewe unayaita wabunge wa bunge la Ulaya wanaanza kuutangazia ulimwengu kuwa mpizani Lissu amekamatwa na polisi.

Polisi wetu wakarimu wanamwachia huru baada ya yeye mwenyewe kukataa kutoa ushirikiano kuwataja watu wanao mtishia maisha yake, watu hao hao wanapiga uongo kuhusu kuvunjwa kwa haki za binadam.

Lissu angekuwa kweli anasakwa na polisi angeondoka nchini kweli? Hujui kuwa serikali ingeweza mnyan'ganya passport yake na asingeweza fanya chochote kwa sababu hiyo passport sio mali yake.

Mtu anaondoka kwa usalama Airport, akiwaaga jamaa zake na akisindikizwa kwa amani kubwa na balozi wa ujerumani, lakini kijana wa kiswahili unashindwa kabisa kuushitukia mchezo unaochezwa na wajerumani?

Sasa hapa naomba nikuambie siri. Lissu ameingizwa na wajerumani nchini ili amwondoe Rais Magufuli madarakani. Wajerumani na hasa chama cha CDU cha Angela Merkel ndiyo kinacho mfinance Lissu na Robert Amsterdam. Sababu ya kufanya hivyo ni uamuzi wa Rais Magufuli alioutoa kujenga bwawa la umeme wa Rufiji.

Uamuzi huo wa Rais Magufuli wajerumani waliona wameingiliwa maslahi yao ya maeneo ya utalii na mawindo kwenye mto huo wa Rufiji ambako wao, akiwemo Angela Merkel na viongozi wengine, wamekuwa wakienda kisirisiri kupumzika na kuwinda wanyama wetu bila sisi kupata mapato ya utalii huo.

Hali hii iliipelekea bunge la Ujerumani kujadili uamuzi wa Rais Magufuli na kupitisha azimio la kupinga na kuzuia kwa hali na mali kujengwa kwa bwawa hilo. Ndiyo maana unawaona wabungeni kama hawa wa chama Angela Merkel wakihangaika na Tundu Lissu ili wakamilishe lile walilo azimia.

Wamempeleka tema Lissu Ubelgiji ili kumwandaa tena. Vita bado haija isha. Wanatumua njia nyingine ili wafanikishe lengo lao. Ni mshauri Rais Magufuli awe makini na wajerumani.

Cha kusikitisha ni kijana wa leo wa mtandaoni umejawa na ushabiki tu wa wazungu, wakati huoni wanakuja kukumaliza

Amka kijana, wewe hapo huna chako. Wazungu watamtumia Lissu baadae watambwaga na kumtafuta mwingine. Lengo hapa ni wao kunufaika na sio wewe. Wewe ni nani anakutambua? Utaangamia bure kwa kushabikia raha za wenzako ambao hata undugu nao wa damu huna.
 
Back
Top Bottom