Huyo jaama hataki kusikia mafanikio ya chadema sasa akiangalia hii nyome hapo karatu lazima ashikwe na tumbo la kuhara kudadadeki zake...heri ya Krismass kwanza Mkuu!?,Eheee!!!!!! kivipi Mkuu hebu funguka kidogo,hapa nadhani kuna kitu cha maana.
Lete picha moja ambayo ili fanyiwa editing ili kupotosha umma kama mnavyo fanya CCM...Uvumilivu jinsi ya kuchukuwa picha au?. Hadi saa ngapi ? Tumia Digital au simu yako haina uwezo huo?. Nimevumilia naona kama wewe ni mmojawapo wa gamba uliyeamua kuanzisha uzi huu ili upate kusikia tunachangia nini.
Sikiliza Mkuu jaribu kujiheshimu,sioni kama uko sawa kwanza kwa kauli zako hizo,acha mdomo mchafu,humu ni jamvini eneo la wazi ambapo kila mmoja ana uhuru wa kuweka maoni yake,sio lazima usome maoni yangu na kuyajibu unaweza kusoma na kama yamekuudhi ukaacha lakini sio kuropoka kama unavyofanya,narudia acha mdomo mchafu na inavyoonekana unataka kuchakachua Thread,nadhani tumia akili zaidi za kichwani usiongozwe na hisia zako.
Tunaendelea kusubiri updates na picha mkuu
Huyo jaama hataki kusikia mafanikio ya chadema sasa akiangalia hii nyome hapo karatu lazima ashikwe na tumbo la kuhara kudadadeki zake...
Mimi hata siwaelewi mnazozana ajili ya nini!. Kila mtu atulie. Shikaneni mikono twende mbele!
PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!
Huyo jaama hataki kusikia mafanikio ya chadema sasa akiangalia hii nyome hapo karatu lazima ashikwe na tumbo la kuhara kudadadeki zake...
anatakiwa kutambua kuwa chadema kama taasisi kutofautiana kupo kama kulivyo kwenye familia zetu sasa kama ukigombana na mwanafamilia wako kesho una peleka kwenye kadamunasi unakuwa unajiaabisha kwanza wewe binfsi na familia yako sasa kama wao hawariziki na mambo yana vyokwenda ndani ya chadema na wao kama viongozi na imeshindikana kuyaweka sawa waamue moja wavumilie ama wasepe watuachie chama chetu...Haya mkuu ndio maana nikaomba kufunguka kidogo,lakini iko hivi binafsi siamini kwamba maombi ya mtu mmoja yanaweza kusambaratisha maombi ya wengi maadam kama wanachokiomba ni hakika na kweli,kwa hiyo nadhani kama ni kuumia yawezekana akaendelea kuumi tu,cha msingi ni kuketi na kufanya uchaguzi sahihi.
mkuu hilo nyomi nimelikubali....wapi masalia!!! pipooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Lakini Mkuu umesoma maneno ya huyo jamaa aliyoyaandika? ana dharau sana na anataka kujifanya anajua kila kitu,tuko kwenye mada ya maana yeye anaanza kuleta matusi na maneno ya kashfa ili kuchakachua mada,mi namtaka aendele ili aipate haki yake.
Naangalia mpira ligi ya UK Sunderland v/s Tottenham.