amadeusity
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 560
- 290
ha haa.! tungeomba walomuhoji nao wahojiwe.!!
Hahaha nawacheka raia wa burundi shem wanaotamka inneShem
unamcheka anayetamka inne au nne?
Hujaitwa huko ilala boma , mkuu ?Bashite aliumbuka hivihivi kwa mambo ya kujipendekeza mkuu amuone kuwa yeye ni bora kuliko wengine mpaka tukamjua kuwa anaitwa Bashite.
Hahaha nawacheka raia wa burundi shem wanaotamka inne
Nakunywa shem
Kunywa maji ya kutosha shem
Huyu ni mchochez sasa
Magufuli pia huwa anatamka INNE badala ya NNE.
Hiki kigezo ni cha kishenzi sana... muha aliyekulia kijijini na kuongea kiha muda wake mwingi hawezi kutamka 'nne' hata ajifunze vipi... huu ni uoneziAkizungumza na waandishi wa habari Askofu Kakobe amesema raia wa Rwanda na Burundi hawawezi kutamka neno " nne" kama ipasavyo bali wanasema " INNE" hivyo ni rahisi tu kuwatambua hata kwa matamshi yao ya kiswahili. Amesema yeye anaongea kiswahili fasaha na hata baadhi ya maofisa waliomhoji hawana kiswahili kizuri kama chake. Source Ayo tv!
Hata mie kwa mtazamo wangu binafsi tu,niliwahi kusema humu jukwaani kuwa tukianza kufukunyuana juu ya vyeti hadi vya wabibi,kuna watu hawatapona,si ajabu hata tuliyemkabidhi ofisi namba moja balaa hili likamkumba.
Usiku Mtakatifu,ule usiku wa Desemba 8 kuingia Desemba 09 1961,yoyote aliyekutwa na usiku huo akiwa katika ardhi ya Tanganyika,by the virtue of his presence in the land of Tanganyika,he/she was a bonafide citizen of Tanganyika.
Tukianza kutazamana kwa ukanda,maeneo na mikoa,hata Raia Namba Moja wa Tz yetu anaweza akaingia kwenye kundi la watu wasio "Watanzania"
Huwezi ukawa Mtanzania unashindwa kusema "Ng'ang'ania" unaishia kusema "Ngangania"....unaambiwa sema "Ng'ombe" unasema "Ngombe"....ukiambiwa sema "unapaswa" unasema "unapashwa",ukiambiwa sema "fanya" unasema "fanyizia"....
Silaha tuliyobaki nao sisi tulio na dola,ni vyombo vya ulinza na usalama na vitisho,tumesitisha kabisa utaratibu wa kujibu hoja kwa hoja au hoja kwa vitendo
KumbeeeFLUSTLATION ZANGU
Kakobe tulimtetea sana. Mimi sasa simo humo. Kiswahili FASAHA WALA Kiingereza FASAHA hakukufanyi wewe kuwa ni RAIA wa Uingereza ama Marekani.Huyu ni mchochez sasa
Magufuli pia huwa anatamka INNE badala ya NNE.
Lihutu hilo tulipige maweFLUSTLATION ZANGU
Ukikaa kwenye jumba la vioo usirushe mawe.Kakobe tulimtetea sana. Mimi sasa simo humo. Kiswahili FASAHA WALA Kiingereza FASAHA hakukufanyi wewe ni RAIA wa Uingereza ama Marekani.
Vyombo vya habari aviache kama anataka amani.
The more he talks ndo anazidi kujiharibia.
Nasi wengine TUTANYAMAZA. ajishughulikie yeye mwenyewe.
Huwezi KUWADHARAU watumishi wa Serikali hata kama Kiswahili chao kina lafudhi ya ya KIHA,KISUKUMA au KICHAGA. Maana Msukuma akiongea HUKAZA sana maneno .
MUHA ndo usiseme.
MCHAGA huongea kama vile anaimba.
Je utasema hawa watu hawajui nini wanacho kifanya sababu tu WEWE una Kiswahili kizuri kuliko wao??
Kakobe aache UBABE maana hautamsaidia,.