Kutoka tcu leo leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka tcu leo leo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gbrother, Aug 22, 2012.

 1. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili waconfirm kama wanataka course na chuo walichopangwa, kama hawataki watapewa maelekezo ya kufanya.
  Kuna watu wengi sana tumepelekwa ifm accounting wakati sio chaguo letu.
  Ikitoka jamani tupeane taarifa.
   
 2. M

  Mr Talisman Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu taarifa muhimu sana iyo mi mwenyewe pia inanihusu
   
 3. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  ahsante sana kutujuza
   
 4. Charles Elias

  Charles Elias Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tayari majina yako tayar had saa hiz tcu kwa hiyo tembeleen huko 2!
   
 5. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,302
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kwenye web ya TCU wameweka hayo majina ya watu waliopangiwa vyuo/course wasizoziomba,
  Wanataka ucheki jina lako kama lipo ucomfirm kama utaikubali course au chuo walichokupangia.
   
 6. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka utata unakuja jinsi ya kuconfirm, maana majina yameolezeshwa tu, yapo 4097, namna ya kuconfirm hawajasema,
  na % kubwa ni ifm.
   
 7. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka jitahidi kama upo dar, ikiwezekana ibuka ili tujue hayo majina tunaconfirm vp,
   
Loading...