Kutoka Ofisini kwa Mzeebaba

Kwahiyo mafaili yako randomly kwa ajili hiyo au ni maoni yako tu.
 
Kwahiyo mafaili yako randomly kwa ajili hiyo au ni maoni yako tu.
Kwenye ofisi nyingi nyeti, mafaili yanawekwa hivyo, randomly, kwa ajili ya usalama zaidi kwani yatampa mhujumu yoyote taabu ya kupata faili analotafuta. Hii ni Office Management Security Skill au OMSS lakini huko inatamkwa OMASISI! Utasikia mtu anakuambia "leo omasisi imechafuka", wanaelewana wao! Kwa hiyo siyo maoni yangu tu bali hiyo ndiyo hali halisi kwenye ulimwengu wa "usalama".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…