Bila kumungunya maneno huyu demu ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben Pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na mwanaume kuingia mzima mzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuwa na swags kwa mademu wakali wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.