Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,347 Reaction score 26,153 Nov 21, 2014 #41 Tarehe 26 ipo kazi
H Hansen Nasli JF-Expert Member Joined Mar 18, 2012 Posts 883 Reaction score 340 Nov 21, 2014 #42 Uendelee kutomuamini hivo hivo tu yeye anasonga mbele na kulisimamia taifa hili nyie bakeni na majungu yenu tu
Uendelee kutomuamini hivo hivo tu yeye anasonga mbele na kulisimamia taifa hili nyie bakeni na majungu yenu tu
H H.M.MUYANGO Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 110 Reaction score 9 Nov 21, 2014 #43 m4cjb said: Zitto wa zamani si sawa na huyu wa sasa,mnaomshabikia mtatafuta pa kujificha baada ya kuwatosa na kulalia kwa mafisadi! Ameshakuwa sehemu ya mfumo fisadi na wala tusitarajie lolote zaidi ya kuwasafisha wezi Click to expand... Uharo! Unapima Sumu Kwa Kuiramba?
m4cjb said: Zitto wa zamani si sawa na huyu wa sasa,mnaomshabikia mtatafuta pa kujificha baada ya kuwatosa na kulalia kwa mafisadi! Ameshakuwa sehemu ya mfumo fisadi na wala tusitarajie lolote zaidi ya kuwasafisha wezi Click to expand... Uharo! Unapima Sumu Kwa Kuiramba?
H Hansen Nasli JF-Expert Member Joined Mar 18, 2012 Posts 883 Reaction score 340 Nov 21, 2014 #44 Inaweza somwa jumatatu au ikabaki kwenye tarehe yake ikiyopangwa tarehe 26