Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Kuna kitu kinaitwa mature entry kipo kisheria tena udsm kabs kwaiyo inawezekana amepitia huko mana inamtaka mtu awe na zaid ya miaka 25 kuna mitihani atafanya then unaingia degree tatizo bongo atujielewi tunaweka jambo fulani lkn tena sisi wenyewe tunapinga wenzetu wanasonga mbele ivo sisi tunabishana na cv's wakat wenzetu wanacheck uwezo kama unaweza fanya jambo private kampuni form six na mwenye certificate mzungu atamchukua mwenye certificate nafasi ya kwanza tena na kuwapima uwezeHakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiliwa Ofisi ya Ras.Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi in sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa IPI iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango mini ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiliwa Ofisi ya Ras.Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi in sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa IPI iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango mini ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.
Hio Degree alisoma na Akafanya mtihani au aligaiwa tu?Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiliwa Ofisi ya Ras.Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi in sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa IPI iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango mini ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.
Na yeye anakiri kuwa amejiendeleza tatizo liko wapi? angekuwa anatumia cheti cha mtu hapo sawa. Tuache majungu ya kijinga tufanye kazi.Kama utendaji wake ni mzuri mwacheni aendelee na kazi,huenda huyo mwenye degree ya kuunga akawa ni mzuri kuliko mwanafunzi aliyegraduate mwaka jana katika kazi,mwacheni huyo mzee wa watu astaafu vizuri iyo ni bahati yake