Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiriwa Ofisi ya RAS. Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi ni sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa ipi iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango miji ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.