Kutoka mrasimu ramani ngazi ya cheti hadi afisa mipango miji ngazi ya degree

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiriwa Ofisi ya RAS. Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo

1.Hivi ni sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa ipi iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango miji ngazi ya Degree?

2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.
 
Acha roho mbaya mkuu sasa mwenzio wakimla kichwa we unapata faida gani?!
 
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiliwa Ofisi ya Ras.Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi in sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa IPI iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango mini ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.
Kuna kitu kinaitwa mature entry kipo kisheria tena udsm kabs kwaiyo inawezekana amepitia huko mana inamtaka mtu awe na zaid ya miaka 25 kuna mitihani atafanya then unaingia degree tatizo bongo atujielewi tunaweka jambo fulani lkn tena sisi wenyewe tunapinga wenzetu wanasonga mbele ivo sisi tunabishana na cv's wakat wenzetu wanacheck uwezo kama unaweza fanya jambo private kampuni form six na mwenye certificate mzungu atamchukua mwenye certificate nafasi ya kwanza tena na kuwapima uweze
 
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiliwa Ofisi ya Ras.Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi in sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa IPI iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango mini ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.

Waliosoma Mature Age Entry ndio hawa!
 
Taratibu za utumishi haziwez kumpandisha mtu cheo ambaye amesomea kada tofauti na kada yake ya utumishi... labda kabla ya hayo mabadilio...
 
Thread Hii Ikisema Ifanyiwe Kazi Kuanzia Juu Hadi Chini
Wizarani Mikoani Wilaya Wengi Fagio Litawakumba Tena Kwa Ajabu Maana Huyo Ni Mmoja Ila Wapo Wengi

Tazama CV Za Wabunge Aibu Unadhani Hao Ikoje
Vuta Pumzi Yaani Kuna PhD,Dr,Masters, Bachelor Fake Nyingi Kwa Mwendo Huo
Ikumbukwe Hadi Ukuhudhuria Semina Na Kupata Cheti Cha Ushiriku Kwa Mwezi Mmoja/Mwaka Vilitumika Kujiunga Chuo Kikuu
 
Tumekalia mavyeti tu baada ya performance nani kamuaambia wenye PhD ,Dr ni watendaji
 
Hakika asemayo Waziri wa Elimu yanapaswa kuungwa mkono.Kuna mtumishi alimaliza kozi ya Mrasimu Ramani(cartographer) Tabora ngazi ya cheti (Certificate) Na kuajiliwa Ofisi ya Ras.Baada ya kufanya Kazi Kwa miaka kadhaa akajiunga Na Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es salaam Na kuchukua kozi Mipango mini Na baada ya miaka 3 akarudi alikoajiriwa Na kutambulika kuwa in Afisa Mipango Na kurekebishiwa mshahara kutoka ule wa mrasimu Ramani Na kupata mshahara wa ngazi ya Degree mpaka sana.Tunajiuliza maswali yafuatayo
1.Hivi in sahihi MTU amemaliza kidato cha NNE , kasoma Na kuhitimu Chuo ngazi ya cheti pamoja Na kufanya Kazi je ni sifa IPI iliyomwezesha kuruhusiwa kujiunga Na Chuo kusomea Mipango mini ngazi ya Degree?
2.Tunamwomba Waziri mwenye dhamana Na Elimu Chuo kikuu cha Ardhi kinaongoza Kwa kuwa Na maafisa waliona Na Degree wakitokea ngazi ya Cheti.
Hio Degree alisoma na Akafanya mtihani au aligaiwa tu?
Kama aligaiwa hata kama alimaliza form six na cheti cha daraja la kwanza hafai
Lakini kama Alisoma kwa akili yake huyo ndio anayefaa
 
Hili swala limekaa vibaya, tukumbuke kwamba degree zimekua nyingi miaka hii ya 2000 zaidi sana 2005 nakuendlea. Watumishi wengi (baba na mama zetu) waliopta degree zao kupitia mature entry. Ukiwatoa wote hizi ofisi hazitaenda
 
Mifumo mingi ya Serikali haipo kielemu, (UKITOA SEKTA YA AFYA na BAADHI YA SEKTA ZA SAYANSI)

Lakin huko kwingine unakuta mtu mwenye elimu ya cheti na mwenye shahada wote wanafanya kazi moja, kwahiyo mtu aliyekaa kazin kwa muda flan hata akifoji vyeti, kazi zake atazimudu tu mana nyingi hazihitaji elimu kubwa.

Serikal nayo inahitaji kubadilika sana.
 
Kama utendaji wake ni mzuri mwacheni aendelee na kazi,huenda huyo mwenye degree ya kuunga akawa ni mzuri kuliko mwanafunzi aliyegraduate mwaka jana katika kazi,mwacheni huyo mzee wa watu astaafu vizuri iyo ni bahati yake
 
kwahiyo kosa ni kwamba hajasoma diploma au mleta uzi unamaanisha nini labda?
 
Nakushauri ukasome upate sifa na wewe kama ni ukuu wa idara utapewa, watanzania tuache majungu jamani. Kuna kazi amepewa akashindwa kuperform vizuri?
 
Kama utendaji wake ni mzuri mwacheni aendelee na kazi,huenda huyo mwenye degree ya kuunga akawa ni mzuri kuliko mwanafunzi aliyegraduate mwaka jana katika kazi,mwacheni huyo mzee wa watu astaafu vizuri iyo ni bahati yake
Na yeye anakiri kuwa amejiendeleza tatizo liko wapi? angekuwa anatumia cheti cha mtu hapo sawa. Tuache majungu ya kijinga tufanye kazi.
 
Mkuu usemalo ni gumu hiyo course aliyosoma degree kwa miaka mitatu Ardhi University haipo.
 
Back
Top Bottom