kutoka mitaa ya huko Nigeria

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
huyu ni msichana aliyekua ametekwa, ana umri wa miaka 14, alikutwa akitembea mitaani akiwa na ujauzito wa miezi 4, japo alikua anajaribu kuuficha

14 Year Old Ese Oruru Is Reportedly 5 Months Pregnant | Nigerian: Breaking News In Nigeria | Laila's Blog

1456901119852.jpg
 
Ingawa sina uhakika sana, kwa nilivyoelewa mimi.

Huyo mzee ni Mume na huyo binti ni Mke.

Sema huu uzi una dalili ya kejeli za Kidini, nilikuwepo
hapana, sihawahi kukejeli dini ya mtu na wala sitakaa nikejeli
naheshimu imani za watu wote
 
Ingawa sina uhakika sana, kwa nilivyoelewa mimi.

Huyo mzee ni Mume na huyo binti ni Mke.

Sema huu uzi una dalili ya kejeli za Kidini, nilikuwepo

Ingawa pia sina uhakika,

Huyo msichana ni kwamba amewahi kutekwa (labda na Boko Haram).

Sasa hivi yuko huru na amegundulika kuwa na ujauzito wa miezi minne.

Ina maana alipewa mimba na waliomteka. Huyo mzee ni mpita njia tu.
 
hapana, sihawahi kukejeli dini ya mtu na wala sitakaa nikejeli
naheshimu imani za watu wote
Hukunielewa.

Mimi sikukulenga wewe.

Nilichokusudia mimi ni huu uzi wenyewe, ingawa wewe uliweka kwa nia njema lakini wapo ambao lazima watakuja kivingine ili kukejeli Imani za watu.

Hicho ndicho nilichokusudia mimi.

Upo?
 
Back
Top Bottom