Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,714
- 45,099
Wote ni marehemu
Hayo ni makubaziKweli Kawawa alikuwa hana haibu, yaani anavaa kandambili kwenye picha kama hii?
Bado mmoja tu ungepata 100 kwa 1001 kutoka kushoto MAALIM SEIF SHARIF HAMMAD
2
3alhaj ALLY HASSAN MWINYI
4.HAYATI MWL J.K NYERERE
5.MAREHEMU .R M KAWAWA
6.RTD JDG . J S. WARIOBA
7.SALIM A. SALIM
Thabit KomboBado mmoja tu ungepata 100 kwa 100
Bado mmoja tu ungepata 100 kwa 100
uko sawa bin sawiaIdris Abdul Wakil
Thabit Kombo
Na bado inazidi kwenda inapoenda!!yajayo yanatisha!Hao ndio walioifikisha nchi apa ilipo
idrissa abdul wakilBado mmoja tu ungepata 100 kwa 100
Ila kuna watu wana bahati sana, mabadiliko ya kidunia kwenye kila sekta wameyashuhudia, na bado wanaendelea kuyashuhudia.
Na bado inazidi kwenda inapoenda!!yajayo yanatisha!