Kutoka Maktaba: Watambue waliopo pichani

Kutoka Maktaba: Watambue waliopo pichani

Dr Salim Ahmed Salim
Joseph Sinde Warioba
Rashid Kawawa
Julius Kamabarage Nyeerere
Ali Hassan Mwinyi
...
Maalimu Seifu Hamad
Huyo mwenye bagalashia sijui nani hawa wote uko sawa kabisa [emoji23][emoji23]
 
1 kutoka kushoto MAALIM SEIF SHARIF HAMMAD
2
3alhaj ALLY HASSAN MWINYI
4.HAYATI MWL J.K NYERERE
5.MAREHEMU .R M KAWAWA
6.RTD JDG . J S. WARIOBA
7.SALIM A. SALIM
Baada ya Maalim Seif Sharif anafata nani?
 
Huyu wa sasa kipindi hiko analima muhugo chato hana habari
 
Kutoka kushoto😀r salim ahmed salim(hapo salim katoka kukabidhi uwaziri mkuu, Jaji joseph warioba(waziri mkuu wakati huo),Rashid kawawa(waziri mkuu mstaafu), julius nyerere(rais mstaafu), ally hassan mwinyi(rais wa wakati huo), sheikh idris abdul wakil(rais wa zanzibar wakati huo), maalim seif sharif hamad(waziri kiongozi wa zanzibar.


Picha hii ilipigwa punde tu baada ya rais mwinyi kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Waliopo hai hadi sasa ni Rais ally hassan mwinyi, Dr salim ahmed salim, Jaji joseph warioba na maalim seif sharif hamad
 
Back
Top Bottom