} Kwa Mambo- Mbata
} Mwarabu Soko Matola Quarters
} Mama Amasha Maghorofani Soko Matola Red Giant nikumbushe pale Machinjioni palikuwa panaitwa kwa nani?
Mbona hamtaji ni mwaka gani bana???. Kuna maeneo nilikatiza juz kati nikakuta tangazo la show ya 'Gangwe Mob'. Na ilikuwa ndiyo top story ya kijiji.
Nadhani mmenielewa.
Ha ha ha umenikumbusha nyimbo ya Diblo Dibala iliwekwa kama trailer hapo Makunguru jamaa (Diblo) alipiga gitaa la solo kwa ustadi mkubwa mpaka watu wakasema once more mara kumi.