Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
- Thread starter
-
- #41
Wabongo wameanza juzi tu. mwaka 2003 nadhani.Mussolin5 hakuna ya kibongo?
Duh bila shaka ndio wewe niliyekuwa nakupiga makonzi pale Mlangoni kwa Mambo [emoji4]} Kwa Mambo- Mbata
} Mwarabu Soko Matola Quarters
} Mama Amasha Maghorofani Soko Matola
Red Giant nikumbushe pale Machinjioni palikuwa panaitwa kwa nani?
Yeah [emoji4] [emoji4] unaenda kucheki movie la mchana na wababe.sisi ilikuwa kwa Bolingo Majengo. tukitoka chinji saa nne tunapiga chuma, tunaoga, saa sita tunaenda kucheki 'picha' la mchana. Good old days.
Mkuu wewe ni wa 2000 [emoji4] [emoji4] [emoji4]bila kusahau sam video center majengo juu sokomatola
Bujibuji wa Juzi! Haaaa Olofea kwa wacheza Guruguru...uwanja wa kupokelea Mwenge!Safi sana, na ITV Olofea
Ghana alikuwa anatoka Kajole sema maisha yao yaliitegemea sana Chinji... Mwasimba kabla haja hamia Itiji kule chini jirani na Mabatini alikuwa anatokea Nonde pia (Mitaa ya Maendeleo kilabuni)Chuma la machinjioni ni balaa, kipindi hicho mabaunsa wote wanatoka machinji na wachache kama akina bade ndo wanatoka nonde. Bolingo, baadae akaja sam video centre enzi zetu.
Zilikuwepo Shamba kubwa na Unga AduiWabongo wameanza juzi tu. mwaka 2003 nadhani.
Kuna filamu kama ;
Nsyuka
Chumba namba 77
Usikose kwenye Mazishi yangu
Girlfriend
Zilitamba sana.
Octopus nimecheza sana disco opposite na kwa GopalBujibuji wa Juzi! Haaaa Olofea kwa wacheza Guruguru...uwanja wa kupokelea Mwenge!
Enzi hizo Mengi katuletea ITV pale Community Center (OLOFEA) jamaa mbavu yule (SONERO) alikuwa kama Mungu fulani hivi alipo kuwa analiwasha lile Dude!
Enzi za Tamthilia za Egoli, the Bold and the Beautiful, Isidingo the need wakati huo hata Rajesh ajaingia mzigoni, akina Nandipha ndio mastar wetu[emoji4] .... Mieleka na akina Hulk Hogan
Haaah Bujibuji nilikuwa nauza ndizi na vinyama choma mlangoni pale kabla hujaingia ndani.. Baadaye tuka hamia Octopus Club (Casino) jirani na Mbeya Peak Hotel
Chiba SantaigaGhana alikuwa anatoka Kajole sema maisha yao yaliitegemea sana Chinji... Mwasimba kabla haja hamia Itiji kule chini jirani na Mabatini alikuwa anatokea Nonde pia (Mitaa ya Maendeleo kilabuni)
Bade nasikia alikata Waya?
Ngwisa Mapugilo kaka yake Mfike a.k.a Fike Wilson, alishafariki.Yeah [emoji4] [emoji4] unaenda kucheki movie la mchana na wababe.
Kama kumbukumbu ziko sawa kwa mzee Bolingo alikuwa anasimamia jamaa fulani anaenda kwa jina la Ndoje, enzi hizo akina Kajole wameishika Mbeya, kule Ghana ya Mbata tulikuwa na Jamaa anaitwa Henry mcheza Karate na majirani zetu Matola walikuwa na Ngwisa[emoji4]
Mbeya ya 90's haikuwa ya kisport sport
mkuu upo vizuri...Mkuu wewe ni wa 2000 [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sam kaingia kwenye industry mwishoni kizazi cha Mkapa kikielekea mwishoni
Hapa hawagusi andha kanoon kwanza zile nyimbo zake ilikuwa burdan sana na jinsi amitha alivyomtoa nishai Amrish kweli sheria kipofu ila sholay mule ndio huburudika zaidi Amjad Khan sio kwa ukatili ule jamaa alikuwa bandidu kweli. Kizazi hiki cha series nao ni waqt wao waangalie prison break na nikita tuwaache nao watawasimulia watoto wao ila vya kale ni dhahabu Shukrani sana kwa kutukumbusha vya kaleWatoto wa leo wamebweteka kwenye play station
Aksante.Hapa hawagusi andha kanoon kwanza zile nyimbo zake ilikuwa burdan sana na jinsi amitha alivyomtoa nishai Amrish kweli sheria kipofu ila sholay mule ndio huburudika zaidi Amjad Khan sio kwa ukatili ule jamaa alikuwa bandidu kweli. Kizazi hiki cha series nao ni waqt wao waangalie prison break na nikita tuwaache nao watawasimulia watoto wao ila vya kale ni dhahabu Shukrani sana kwa kutukumbusha vya kale
Eeeeh...! mkuu HATYA ni hatari mnoo..Halafu kuna Hatya nayo ilikuwa nux
Inawezekana alishakata waya mkuu maana niliwahi kusikia kuwa alikuwa na "umeme". Si unajua tena ukiwa mbabe unavunja mifupa kadri uwezavyo.Ghana alikuwa anatoka Kajole sema maisha yao yaliitegemea sana Chinji... Mwasimba kabla haja hamia Itiji kule chini jirani na Mabatini alikuwa anatokea Nonde pia (Mitaa ya Maendeleo kilabuni)
Bade nasikia alikata Waya?
Heshima kwako Mkuu.. Umenikumbusha mbali sanaNgwisa Mapugilo kaka yake Mfike a.k.a Fike Wilson, alishafariki.
Henry Mwambopo Henule Ras Nyoka Chotara yuko Mwanza siku hizi.
Francis Mpakasi a.k.a Kachinga Sijamuona long time.
Kina Kuluso na wajukuu wa Mwampyate wale weziiiiii kina Fadhilu walikimbilia South