Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Malkia akibadilishana mawazo na Nyerere kwa unyenyekevu mkubwa na uliotukuka
Mpiga hapati picha vizuriMalkia akibadilishana mawazo na Nyerere kwa unyenyekevu mkubwa na uliotukuka
sio haba, yaliyomo yamoBibi alikuwa kifaa hasa. Guu guu! Dahh
mkuu umeandika kizaramo au kikwere?Mpiga hapati picha vizuri
duh itabidi ninywe maji kwanzamkuu umeandika kizaramo au kikwere?
tena ya kutoshaduh itabidi ninywe maji kwanza
Mpiga hapati picha vizuri
Haraka ya kuweka comment hiyo!!mkuu umeandika kizaramo au kikwere?
hahahaha enzi hizo Dar nzima tunaomiliki magari hatuzidi watu 13Eeeeh enz za wazalendo......
Sio haraka tatizo ni uhakikiHaraka ya kuweka comment hiyo!!
hahahaha enzi hizo Dar nzima tunaomiliki magari hatuzidi watu 13
Na wote tulikuwa tunajuana!!!!!hahahaha enzi hizo Dar nzima tunaomiliki magari hatuzidi watu 13
na ili kununua gari mpaka upate kibali cha ikulu, tena unasotea kukipata na maswali lukuki.Na wote tulikuwa tunajuana!!!!!
Malkia akibadilishana mawazo na Nyerere kwa unyenyekevu mkubwa na uliotukuka
Hakika walikuwa wana_ socialize kwa kiwango cha juu, hata body language yao inaonyesha namna walivyokuwa connected.Ni kweli kwamba hawa wawili walikuwa wana socialize kwa kiwango cha juu sana? Mleta mada nafikiri utakuwa na taarifa kamili.