W wakaliwetu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2020 Posts 671 Reaction score 1,143 Nov 17, 2021 #2 Muda bwana kaaa ni hakimu wa kila kitu😷😷
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,450 Nov 20, 2021 #3 Mtu asiekuwa na elimu kaongoza dsm
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Nov 20, 2021 #4 Moja ya maboko ya anko magu na mtangulizi wake kikwete na kumleta huyu mjomba, huyu mwamba akili kichwani empty, zikakimbilia kwenye makalio, ndio maana akawa anafanya mambo kama wadada wa "MUJINI" wenye makalio makubwa.
Moja ya maboko ya anko magu na mtangulizi wake kikwete na kumleta huyu mjomba, huyu mwamba akili kichwani empty, zikakimbilia kwenye makalio, ndio maana akawa anafanya mambo kama wadada wa "MUJINI" wenye makalio makubwa.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,969 Nov 20, 2021 #5 Wacha tutafune mahindi, ubuyu una minyoo
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,838 Reaction score 7,891 Nov 20, 2021 #6 Makonda ni zero brain
impongo JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 8,838 Reaction score 7,891 Nov 20, 2021 #7 Makonda alivaa viatu vikubwa halikuwa kosa lake yote aliyoyafanya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,681 Nov 20, 2021 #8 Yana mwisho na mwisho wake ndiyo huu...
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,949 Nov 20, 2021 #9 Sky Eclat said: View attachment 2013384 Click to expand... Huyu kwa bahati mbaya ndiye angalikuwa rais, Watz kazi tungeipata.
Sky Eclat said: View attachment 2013384 Click to expand... Huyu kwa bahati mbaya ndiye angalikuwa rais, Watz kazi tungeipata.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,248 Reaction score 69,819 Nov 21, 2021 #10 Rise And Fall
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,064 Nov 21, 2021 #11 Nyamitako huyo Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,354 Reaction score 11,108 Nov 22, 2021 #12 Kennedy said: Rise And Fall Click to expand... Name of Amaizing song from Craig David ft Sting
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,651 Reaction score 43,037 Nov 22, 2021 #13 Mokaze said: Huyu kwa bahati mbaya ndiye angalikuwa rais, Watz kazi tungeipata. Click to expand... Bila kuoga na kujipulizia unyunyu watu wasingeruhusiwa kuingia Daslam
Mokaze said: Huyu kwa bahati mbaya ndiye angalikuwa rais, Watz kazi tungeipata. Click to expand... Bila kuoga na kujipulizia unyunyu watu wasingeruhusiwa kuingia Daslam
B babu na mjukuu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 3,949 Reaction score 6,752 Nov 22, 2021 #14 impongo said: Makonda alivaa viatu vikubwa halikuwa kosa lake yote aliyoyafanya Click to expand... Kisa ndio alimgundua mkuu wa magaidi!? Au kwakuwa alimtuhumu gaidi mkuu masuala ya ngada?
impongo said: Makonda alivaa viatu vikubwa halikuwa kosa lake yote aliyoyafanya Click to expand... Kisa ndio alimgundua mkuu wa magaidi!? Au kwakuwa alimtuhumu gaidi mkuu masuala ya ngada?
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,949 Nov 22, 2021 #15 Kinyungu said: Bila kuoga na kujipulizia unyunyu watu wasingeruhusiwa kuingia Daslam Click to expand... Mkoa wa Dar alikuwa anauita "Huu mkoa wangu" 🤣
Kinyungu said: Bila kuoga na kujipulizia unyunyu watu wasingeruhusiwa kuingia Daslam Click to expand... Mkoa wa Dar alikuwa anauita "Huu mkoa wangu" 🤣
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,651 Reaction score 43,037 Nov 22, 2021 #16 Mokaze said: Mkoa wa Dar alikuwa anauita "Huu mkoa wangu" 🤣 Click to expand... Hatari sana kwa kweli. Hii nchi ilipita kipindi kigumu sana katika "maisha" yake
Mokaze said: Mkoa wa Dar alikuwa anauita "Huu mkoa wangu" 🤣 Click to expand... Hatari sana kwa kweli. Hii nchi ilipita kipindi kigumu sana katika "maisha" yake
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,826 Nov 25, 2021 #17 Kennedy said: Rise And Fall Click to expand... Of makeyi
COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,826 Nov 25, 2021 #18 Mokaze said: Mkoa wa Dar alikuwa anauita "Huu mkoa wangu" 🤣 Click to expand... Rahisi wa maarasihiiii
Mokaze said: Mkoa wa Dar alikuwa anauita "Huu mkoa wangu" 🤣 Click to expand... Rahisi wa maarasihiiii
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,120 Reaction score 831,799 Nov 25, 2021 #19 Sky Eclat said: View attachment 2013384 Click to expand...
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,949 Nov 25, 2021 #20 Mshana Jr said: View attachment 2022580 Click to expand... Hiyo "piece" inayowekwa kiunoni kweli haijawahi kula kichwa cha mtu??!!😱
Mshana Jr said: View attachment 2022580 Click to expand... Hiyo "piece" inayowekwa kiunoni kweli haijawahi kula kichwa cha mtu??!!😱