daah, e bwana hilo kopo la blue band umenkumbusha mbali saaaana mkuu. Lilikuwa la bati sio plastiki. Dingi alikuwa akirudi hom anakuja na maswali kibao ya skuli (hasa kuimba multiplication tables) ukishindwa huli mkate asubuhi. Nakumbuka tangazo la KIWI la mzee jangala ITV miaka ya 1996 ile.
Katika sauti ya kubana pua "REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
Hii sabuni siipendi ngumu sana na haina povu kabisa wazazi walikuwa wanatukomoa sabuni za watoto mnapewa dungu kubwa kama hilo hata kuishika inakuwa shuguli inabidi ikatwe vipande vinginevyo mkono wa kitoto hauwezi kuikamata yote hiyo.

Na hiyo yote sababu ya ufujaji wa sabuni za kuogea adhabu yenu Geisha.
Umenikumbusha mbali sana
Hata shule ya awali bado
Facebook inakuhusuMwaka 95 hata shule bado sijaingia tena nilikuwa napenda sana kutembea peke enzi hizo.
daah, e bwana hilo kopo la blue band umenkumbusha mbali saaaana mkuu. Lilikuwa la bati sio plastiki. Dingi alikuwa akirudi hom anakuja na maswali kibao ya skuli (hasa kuimba multiplication tables) ukishindwa huli mkate asubuhi. Nakumbuka tangazo la KIWI la mzee jangala ITV miaka ya 1996 ile.
Wai. Miaka ya 90 Sir George Kahama alikuwa tayari ana simu ya mkononi. Kwa makusudi kabisa akawa anaenda nayo kanisani na kupokea calls humo humo tena kwa sauti.
Laptop ya kwanza Ilikuwa Samora Dar. RAM Nadhani ni 8mb.
Hii sabuni siipendi ngumu sana na haina povu kabisa wazazi walikuwa wanatukomoa sabuni za watoto mnapewa dungu kubwa kama hilo hata kuishika inakuwa shuguli inabidi ikatwe vipande vinginevyo mkono wa kitoto hauwezi kuikamata yote hiyo.
Na hiyo yote sababu ya ufujaji wa sabuni za kuogea adhabu yenu Geisha.
Umenikumbusha mbali sana
Playstation wamuachie nani