Kutoka Maktaba: Mbowe na Hoyce Temu Mwaka 99

Kutoka Maktaba: Mbowe na Hoyce Temu Mwaka 99

Dj Mbowe Uhuni Kaanza Kitambo SANA
Kweli usemayo maana miaka hiyo yeye akiwa muhuni wa mjini kuna watu wapo madarakani pengine hata kiswahili chao ilikuwa lazima uwasikilize kwa makini maana hawakijui vizuri
 
Acheni wivu jamani nyie CCM..hata magu anajua luwasa alipotema mfupa ndo ukamwangukia..teh teh..inauma lakini ndiyo hivyo...Mbowe ni janja man aiseee
 
Nizime taa kisha ni-meditate nini?? Mimi Siishi kwa fantacy na wishfull thinking!
Washa taa na rudi ktk normal life, Rais ni JPM alishinda saa nne asubuhi. Hutaki, endelea kumeditate.
Mbowe ataendelea kuwa mpiga dili tu, kauza chama.
Sawa bwana mkuu, lakini usisahau wapiga dili ndio wanakimbizwa kasi na JPM wala sijasikia Mbowe akiguswa. Alianza na mijizi ya makontena bandarini, akaenda kwenye mafuta na mpaka sasa anaendelea. Ngoja tusubiri labda 'mpiga dili Mbowe' atafikiwa kesho
 
Back
Top Bottom