Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

Wasiwasi wangu ni kwamba, anaweza kupewa dhamana na hapo hapo anganyang'anywa tena . Tumuombe Mungu tusifike huko, inatosha sasa. Kwaresma njema.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu maombi ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
Ni asubuhi tena kwa mbali jua limeanza kuchomoka huku Arusha ikiwa ni siku ya kupatiwa haki kwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema baada ya kuwekwa kizuizini kwa takribani miezi ninachoamini ni kwamba Mahakama kuu leo itatenda haki kwa Lema.
================
Ulinzi nje eneo la mahakamani umeimarishwa sana.
Wananchi wamezuia kuingia mahakama kwenda kusilikiza kesi ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema.
Waandishi wa habari wawili tukiwa nje ya eneo la mahakamani tumekamatwa na Jeshi la Polisi .tumeshikiliwa kwa muda lisaa baada ya majadiliano wahusika tumeachiwa tumezuia kuingia mahakamani.
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akishuka kwenye gari kuingia mahakamani.
View attachment 476296
Viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Edward Lowasa, Waziri Mkuu Msaatafu Sumaye na Meya wa Jiji la Arusha Mjini Kalisti Lazaro wakiwa mahakamani .
View attachment 476298

Tatizo moja la HAKI ni kuchelewa sana kiasi cha dhuluma kuonekana ikitamalaki kwa kiasi kikubwa. Ndio maana watu hupoteza uvumilivu na kujikuta wakitumbukia kwenye machafuko kama njia ya kuifikia kwa haraka. Mungu atunusuru na atujalie kuwa na subira.
 
Viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Edward Lowasa, Waziri Mkuu Msaatafu Sumaye na Meya wa Jiji la Arusha Mjini Kalisti Lazaro wakiwa mahakamani .
tmp_23435-FB_IMG_1488525644504-342650550.jpg
 
Naona Moderator wameunganisha itabidi kuishia hapo
Sasa wewe unawahi kuanzisha thread ya mstari mmoja kwa jambo nyeti kama hili na unajua hutaweza kutoa updates unamaanisha nini? Hebu waachie akina Francis12 wanaoweza kutoa live updates Yanayojiri kutoka mahakamani kwenye kusikilizwa rufaa ya dhamana ya Mbunge Godbless Lema. Mods (Mod 1 Mod 2 Mod 3 Mod 4 Mhariri Active Rider Bridger Paw ), mnapounganisha threads kigezo kisiwe nani kawahi ku-post but kuzingatia details na clarity ya thread na kama ni issue inayoendelea uwezo wa mhusika kutoa live updates.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu maombi ya dhamana ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
Ni asubuhi tena kwa mbali jua limeanza kuchomoka huku Arusha ikiwa ni siku ya kupatiwa haki kwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema baada ya kuwekwa kizuizini kwa takribani miezi ninachoamini ni kwamba Mahakama kuu leo itatenda haki kwa Lema.
================
Ulinzi nje eneo la mahakamani umeimarishwa sana.
Wananchi wamezuia kuingia mahakama kwenda kusilikiza kesi ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema.
Waandishi wa habari wawili tukiwa nje ya eneo la mahakamani tumekamatwa na Jeshi la Polisi .tumeshikiliwa kwa muda lisaa baada ya majadiliano wahusika tumeachiwa tumezuia kuingia mahakamani.
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akishuka kwenye gari kuingia mahakamani.
View attachment 476296
Viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr Vicent Mashinji, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Edward Lowasa, Waziri Mkuu Msaatafu Sumaye na Meya wa Jiji la Arusha Mjini Kalisti Lazaro wakiwa mahakamani .
View attachment 476298
Mungu yupo ngoja tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom