Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

Status
Not open for further replies.
BREAKING NEWZ............

NIKO hapa mahakamani ndani HUKUMU bado haijasomwa mpaka muda huu saa 4:25 wapuuzeni WAHAFIDHINI wanatengeneza MAZINGILA ya kujipa ushindi kwa UONGO:-

" Mungu mbariki Zitto, Mungu ibariki Tanzania" HAKI LAZIMA ISHINDE

Asanteni!!
 
Wakuu nimelazimika kuripoti japo sipo eneo la tukio lakini kwamsaada wa vitendea kazi muhimu vilivyopo mahakamani hakuna kitakachoharibika,Watu wameshaingia kwenyevukumbi wa mahakama, mawakili wa pande zote wapo,Lisu anatanabaisha kuwa uamuzi wa kesi hii utasomwa saa kumi kamili.Vuteni subira kila kitu kitakuja hapa live,Wakuu,Jaji ameingia, na karani tayari ameshasoma jalada la kesi husikaMawakili wanajitambulisha,Jaji anaomba radhi kwa kuchelewa kuanza kusoma hukumuAnarudia summary ya juzi aliyosoma kuhusu historia ya pingamizi na mwenendo wakeZitto alitaka alitaka CC isijadili uanachama, amri yoyote itolewe na mahakama pia chama kilipe gharama za kesiUpande wa utetezi umeweka pingamizi leo asubuhi kutolipa gharama ya kesi ikiwa Zitto atashindwa kesi
Makamanda mbona hamtupi update kutoka mahakamani??tupeni habari basi??
 
Mkuu wangu Invisible , hamjatuma watu Mahakamani?....Maana hakuna updates zozote zinazoendelea hapa tofauti na kwenye mitandao na forums nyingine....
 
Last edited by a moderator:
mkuu zitto anapendwa na waha wenzake, lakini kama sisi wa kusini hatuna mpango naye! Mwambieni biashara ya uswis aiache mara moja, maana kwa sasa aendelee na mgao toka kwa fisadi nimrod!

kusini gani??

Huku kusini haipendwi chadema,isipokuwa anapendwa zito tuh,,

michaga mikabila,midini huku haina nafasi

labda huko huko tengeru
 
Swali la msingi, tuchukulie ZZK kwa bahati mbaya mahakama ikakosea na kumpa ushindi ;Je atamuongoza nani?; In short this guy must go and this will mark the end of his populality in politics; politically he is finished kwa upepo wa siasa za Tanzania.

Kwani sialichaguliwa na wananchi...we akili gani unatumia ati
 
dancing-elephant-animation-shaking%2Bass.gif

Hii kali sana daaaaaaaaah!
 
Breaking neweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez....Zitto.......(waiting)
 
Swali la msingi, tuchukulie ZZK kwa bahati mbaya mahakama ikakosea na kumpa ushindi ;Je atamuongoza nani?; In short this guy must go and this will mark the end of his populality in politics; politically he is finished kwa upepo wa siasa za Tanzania.

atawaongoza waliompa ubunge mtu kama anawafuasi dar wakati yeye ni mbunge wa kigoma unafikiri atakosa wa kumuongoza?
 
Hivi ni Yericko kweli anayeripoti...au Account yake imeingiliwa na hackers...mbona huwa hacheliwi..kuripoti kinachojiri namna hii ....huku maeneo mingine update zina zidi kufumuka?
 
Hawa ndio makamanda,,si unaowaona walivyo ngangari??

Sio wale wenye makengeza kama wanakula KUNGU,,,!!!

Eti mla mbwa anasema hayuko mahakamamani..vipi umekosa pesa ya nauli??

Chezeni LEKATUTIGITE HIYOO...

SHENZY KABISA
Msije mkasahau mzee wa Kiraracha alisukumwa na gari yake...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom