Watuhumiwa ambao ni makada wa Chadema wameshawasili wakiongozwa na Henry Kilewo na wenzake.mawakili wa pande zote nao wapo. Jaji ndo anasubiriwa
Watuhumiwa ambao ni makada wa Chadema wameshawasili wakiongozwa na Henry Kilewo na wenzake.mawakili wa pande zote nao wapo. Jaji ndo anasubiriwa
kazi za Mwigulu hizo ni kuwakomaza makamanda na kuwafanya wawe mashujaa kama Mandela,kweli nmeamini anatufanyia promo CDM
Jamani jaji bado hajaingia??au labda yuko kwenye simu akipokea amri za magogoni.
Watuhumiwa ambao ni makada wa Chadema wameshawasili wakiongozwa na Henry Kilewo na wenzake.mawakili wa pande zote nao wapo. Jaji ndo anasubiriwa
Tupo pamoja tukiwaombea wote mliopo maeneo hayo!MUNGU AWAONESHE NJIA...!
Karani anaweka mik vizuri ili Jaji atakapotangaza uamuzi kila mtu asikie sawia
Nadhani hata upande wa pili nao watakuwa wanaomba kimoyo moyo, kila mtu anahitaji mkono wa Mungu.Wakili Peter Kibatala amewakumbatia Watuhumiwa kama ishara ya maombi. Pia amamkumbatia Wakili Emmanuel wa Tabora. Na sasa Mawakili wa pande zote mbili wamevaa nguo zao za kazi wanamsubiri Jaji