Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
Lisu

Lissu:Maslahi anayoyazungumzia wakili Msando kuwa wapiga kura wa mteja wake watapata madhara,uenyekiti wake wa PAC na ubunge wake hayalingani na athari ya shughuli za chama kikuu cha upinzani na wanachama wake nchi nzima.Equivoically and categorically where is the balance of convinience?

Anaiuliza mahakama je Ikitokea Kamati Kuu ikitoa onyo kwake je kutakua na madhara yasiyotobika?Yaani irreparable injury?

Je,Akifukuzwa uanachama si siku 90 tu uchaguzi utakua umeitishwa na wapiga kura wa Kigoma watakua na mbunge?Irreparable loss iko wapi?Atakachokosa ni maslahi yake binafsi ya posho tu.Kwa hiyo hakuna hoja .Irreparable loss ni kuangalia maslahi ya wengi kuliko posho zake za Ubunge na uenyekiti wa PAC Tu
Kwani yeye bado anachukua posho za vikao? Si nasikia alikataa kuchukua.!
 
Wewe kauzu kweli kwa akili yako unadhani mimi nipo hapa kumshabikia Zitto? Mimi na Chadema na Zitto mbalimbali mimi nipo hapa kutoa elimu ya uraia kwa wasomaji waijue vizuri Chadema ni chama cha Kaskazini, huu upuuzi wenu upuuzi wenu CCM hawahusiki msitafute sababu.

Povu lanini we gamba!!? mnajifanya ooh Zitto kingozi mzuri....sasahivi mnahsangalia!! kweli mmemtumia kama dodoki!! CCM wahuni sana nyie!
 
Najua hofu yako ni Zitto kutimuliwa; na ninyi hampo tayari kumpokea tena baada ya kumtumia katika USALITI. Unachotaka utakipata maana CHADEMA ni chama cha maamuzi magumu! Hakuna fitina unayoweza kutengenezea WATZ wewe, labda kama siyo mahali CCM inahusika! CCM IMEOZA JUMLA! HAIFAI HATA KWA TANGAWIZI!
R.I.P Chadema.
 
Zitto ni jeshi la mtu mmoja. Anavyowahenyesha magwanda ananikumbusha jinsi Osama alivyowahenyesha Wamerekani na vibaraka wao.

Cheza na watoto wa madrasa wewe.
 
Tundu Lissu anachekesha sana watu, hadi judge kacheka na maneno yake yenye aina fulani ya kashfa hahahaha, natamani ningesoma sheria
 
Nyie watu wa Zitto si mlikuwa na mabango Mengi sana huko Kigoma, mko wapi sasa, mlifikiri hii ni vita ya mtandaoni tu, jitokezeni mumuunge mkono Zitto, hamuoni anaibika kwa mara ya kwanza maishani kazomewa na alizoea kushangiliwa.. Nyie mmejibanza humu na majina fake.. Zitto ameachwa yatima hadi anatia huruma!

sisi sio kama chadema wengne waliotuma msg kibao eti tuwahi mahakamani na mabango nauli tutalipiwa.upuuzi mtupu.Nakuombea Zitto ushinde haki dhidi ya dhuluma
 
..

==> Mechi tamu kweli hii....Tundu anawakimbizaa...naambiwa ZZK macho mekundu kama vizee wa shinyanga ...
 
"Lissu

Je,Akifukuzwa uanachama si siku 90 tu uchaguzi utakua umeitishwa na wapiga kura wa Kigoma watakua na mbunge?Irreparable loss iko wapi?Atakachokosa ni maslahi yake binafsi ya posho tu.Kwa hiyo hakuna hoja .Irreparable loss ni kuangalia maslahi ya wengi kuliko posho zake za Ubunge na uenyekiti"


kisu mfupani
 
Jiheshimu mkuu,

Hata niwe masikini vipi siwezi fanya hayo.

Kwa taarifa yako katika hiyo milioni moja mimi nilitoa lakini tano zingine walichanga watu sita

Ukitoa sadaka yako na mkono wa kulia hata mkono wa kushoto usijue ili Mungu aonaye sirini akibariki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom