Kutoka kwenye Soka la Kimataifa hadi Bongo Flava! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka kwenye Soka la Kimataifa hadi Bongo Flava!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ndebile, May 8, 2012.

 1. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,636
  Likes Received: 1,998
  Trophy Points: 280
  Huyu ni aliyewahi kuwa golikipa wa vilabu maarufu, Peter Manyika. Juzi nilikia Singo yake, dah! maisha ni kujaribu kila fani....jamaa anaimba muziki wa kizazi kipya. Mashairi machache ninayoyakumbuka kwenye huo wimbo wake unaoitwa 'Wololo Wololo' ni ...unaishi Masaki lakini upigi mswaki....wanasoka wabongo njaa kali kwa kushindia mihogo..! Mwisho niulize ni lini wakati wa kujua vipaji vyetu....asubuhi au jioni wakati wa lala salama?
   
Loading...