Kutoka kwa babu seya na mwanaye

Nov 22, 2017
16
45
Mh magufuri anastahili hongera katika hilo lakini yote kwa yote, mh lowasa ndo kiini cha yote hayo kwasababu yeye ndo aliiweka hiyo kama irani ya compain hivyo bado kunaumuhimu wa uwopo wake na umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa jina la lowasa. Mshangae yeyote ambaye anasema EET, kama magufuri anatekeleza sera za upinzani eeet haina haja ya upinzani, hiyo ni no no no
 
Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Mh magufuri anastahili hongera katika hilo lakini yote kwa yote, mh lowasa ndo kiini cha yote hayo kwasababu yeye ndo aliiweka hiyo kama irani ya compain hivyo bado kunaumuhimu wa uwopo wake na umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa jina la lowasa. Mshangae yeyote ambaye anasema EET, kama magufuri anatekeleza sera za upinzani eeet haina haja ya upinzani, hiyo ni no no no
muongeaji na mtenda nani bora babu yenu lowassa kazi kuropoka

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
chazi piere

Senior Member
Jun 12, 2016
139
225
Compain=campaign
Irani=Ilani
Kunaumuhimu=kuna umuhimu
Uwopo=Uwepo
Magufuri=magufuli
EET=eti
Tulia uandike vzr kitu cha kueleweka Kwn unakimbizwa na Nani? Khaa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom