kalistus komba
Member
- Nov 22, 2017
- 16
- 5
Mh magufuri anastahili hongera katika hilo lakini yote kwa yote, mh lowasa ndo kiini cha yote hayo kwasababu yeye ndo aliiweka hiyo kama irani ya compain hivyo bado kunaumuhimu wa uwopo wake na umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa jina la lowasa. Mshangae yeyote ambaye anasema EET, kama magufuri anatekeleza sera za upinzani eeet haina haja ya upinzani, hiyo ni no no no