Kutoka kwa Abdul Nondo

i am happy kesi yake imetupwa chooni na aruhusiwe sasa kurudi masomoni
ila ataunga mkono juhudi za jiwe (if not soon bit later)
 
Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
Kwahiyo hata kama ni yakishetan bd tutii siyo
 
Usikubali tena kutumiwa na wana siasa. Angalia maisha yako. Wana wana waza maslahi yao. Haijalishi kama wewe unataka maisha mazuri au sio. Watch out!
 
kazi kweli kweli " aliyetaka kukupoteza leo hii amebakia kuwa mbunge " uwaziri alishopokonywa "... Cheo ni dhamana aisee
 
Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
Shoga una mikwara,,umeacha kudanga,,lol
 
Hongera na pole kwa changamoto zote ulizokutana nazo.
 
Pole sana ndugu Abdul Nondo ni kipindi kigumu sana umepitia but GOD is great, MUNGU ni mtetezi wa wanyonge utukufu wake huonekana pale pasipo haki.
 
Hata hivyo hongera sana na wewe ni Nondo jembe, nawapongeza tu mawakili wako, na wanasheria wako wengine wote. Mimi siwezi kupongeza taasisi za serikali hi.
 
Asante sana mjomba japo ulisahau kuishukuru JF ambayo imehakikisha habari zako zimesambaa hadi UN , next time usiidhulumu jf shukrani zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…