Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,402
Ni sawa na kusema kutoka Kudokoa Nyama Jikoni au kukojoa Kitandani mpaka kuwa Mfalme...; Hakuna Ajabu hapo...., hizo ni hatua ambazo kuzipitia sio ajabu....
Huyu hajatoka kuwa Kondakta mpaka akawa waziri amepitia Ubunge na ngazi nyingi tu katika Siasa...., na katika waliopitia mabonde na milima (mfano kina Museveni kule Uganda) huyu kapitia njia ya Rami)
Ndio yale yale mwingine anahadithia alikuwa ana shati moja la shule, wakati anaowaambia wengine walikuwa wanatembea vifua wazi..., Hawa watu wapo out of touch na jamii iliyowazunguka.....