Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Wasalaam Sana
Nikianzia Kiluvya kituo cha Camel, Kibamba kwa mangi kuna kituo uduru, Nbezi Mwisho sheli vimeshavunjwa
Vilivyobaki ni Luguruni pale chuo, Mbezi kwa Yusuph, kwa Nsuguri na Kimara Suka tu
Sasa mafuta tutakuwa tunawekea wapi na sijaona popote wanapojenga kituo kipya
Sent using Jamii Forums mobile app