Kutoka Kimara hadi Kibaha, vituo vya mafuta vinavunjwa

Hicho Ni njia panda ya shule camel
IMG_20190215_162857_0.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam Sana ,nikianzia kiluvya kituo Cha camel,kibamba kwa mangi kuna kituo uduru ,mbezi mwisho sheli vimeshavunjwa ....vilivyobaki Ni luguruni pale chuo ,mbezi kwa yusuph ,kwa msuguri na kimara suka tu ...Sasa mafuta tutakuwa tunawekea wapi na sijaona popote wanapojenga kituo kipya

Sent using Jamii Forums mobile app

Njoo uweze mafuta hapa ubungo Mataa
 
Kama raia walivunjiwa basi sheri nazo zinastaili kuvunjwa......vipi na misikiti na makanisa awamu yao bado ama
 
Unapoiona sheri hakikisha unaweka mafuta full tank,ile mita inayosoma mafuta hakikisha mshale wake haushuki sana. ukishuka nenda sheri za mbali kajaze
 
Wasalaam Sana ,nikianzia kiluvya kituo Cha camel,kibamba kwa mangi kuna kituo uduru ,mbezi mwisho sheli vimeshavunjwa ....vilivyobaki Ni luguruni pale chuo ,mbezi kwa yusuph ,kwa msuguri na kimara suka tu ...Sasa mafuta tutakuwa tunawekea wapi na sijaona popote wanapojenga kituo kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaweka Kimara au Kibaha.
 
Back
Top Bottom