Kutoka kimapenzi na ndugu

Kutoka kimapenzi na ndugu

Early 20's raha sana ...nakumbuka enzi zangu nilikua nawakaza wa 3 kwa siku

Sasa hapo unasikia bro...nitumie namba ya dada yake huyo demu wako nimbembeleze na tamthiliya za Isidingo sio hizi za siku hizi za Uturuki !!
😅😅
 
True love is not for Money ,
For those who buy love in relationship lack wisdom

By Marco Seth
 
Habari za muda huu

Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27.

Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha

Baada ya muda wa mwezi mmoja kumbbeleza alikataa kurudiana na Mimi akidai amepata mwanaume mwingine ila nimumewamtuu na anamuhudumia kwa Kila anachokihitaji kwa upandewangu nikakata tamaa nakuachana nae ila aliendelea kunitafuta kwa Baadhi ya siku.

Hivi Sasa niwiki tatu nilimtongoza mdogo wake mwenye miaka 21 naakanikubalia hivyo tuliendeleza penzi letu kama kawaida na kupeqna ahadi kadha wa kadha za uaminifu mpaka ndoa . Ilipofika Jana dada yake aligundua nakunipigia simu kunishtumu kwa nilichomfanyia kwani anasema siokwamba alikua ameachana na Mimi Bali nialifwata tuu ela ila moyo wake bado upo kwangu , kwaupande wangu nilimchana ukweli kua atulie naaniache na mahusiano yangu na mdogo wake ila sijui alichokifanya mpaka Sasa kwani mdogo wake kwasikunzima ya Leo amenizimia simu na nlipomuuliza rafiki yake alinipa jibu kua kunamuda alikua amejifungia ndani analia ila hakumuambia kinachomliza

Naombeni ushauri hii kesi naitatuaje sababu nahisi dada mtuu kamzingua mdogo wake kwa kukubali kutembea namimi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mapenzi ptu mapenziii ptoo mmmh 😏
 
Unazan utaishi vp wakat ata shemej umeshamla na mdogo mtu amejua hilo ko hata ukimwoa atabaki na waswas kati yenu endapo mtajaribu kuwa karibu na mnaweza kuja kuingia kweny huo mtego baadae na msiombe mkamzid huyo shem mke maisha afu yey ateseke kwa mmewe atalaan mda wote. Sasa hayo yote yanin
 
uzi uu ungeupeleka fesibuuukuuu mkuu wanafunzi wapo wengi kule
 
Habari za muda huu

Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27.

Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha

Baada ya muda wa mwezi mmoja kumbbeleza alikataa kurudiana na Mimi akidai amepata mwanaume mwingine ila nimumewamtuu na anamuhudumia kwa Kila anachokihitaji kwa upandewangu nikakata tamaa nakuachana nae ila aliendelea kunitafuta kwa Baadhi ya siku.

Hivi Sasa niwiki tatu nilimtongoza mdogo wake mwenye miaka 21 naakanikubalia hivyo tuliendeleza penzi letu kama kawaida na kupeqna ahadi kadha wa kadha za uaminifu mpaka ndoa . Ilipofika Jana dada yake aligundua nakunipigia simu kunishtumu kwa nilichomfanyia kwani anasema siokwamba alikua ameachana na Mimi Bali nialifwata tuu ela ila moyo wake bado upo kwangu , kwaupande wangu nilimchana ukweli kua atulie naaniache na mahusiano yangu na mdogo wake ila sijui alichokifanya mpaka Sasa kwani mdogo wake kwasikunzima ya Leo amenizimia simu na nlipomuuliza rafiki yake alinipa jibu kua kunamuda alikua amejifungia ndani analia ila hakumuambia kinachomliza

Naombeni ushauri hii kesi naitatuaje sababu nahisi dada mtuu kamzingua mdogo wake kwa kukubali kutembea namimi
Mkuu, nisaidie namba ya huyo rafiki yake aliyekupa taarifa ya kuwa huyo binti analia chumbani ili tugawane majukumu.
 
Back
Top Bottom