Nashukuru sana kwa kutupa taarifa hii na nafurahi sana kwa Ufafanuo wako wa Slogan ya UKAWA kuwa ni UZANZIBAR, UTANGANYIKA na UTANZANIA, Kesho itakuwa Uislaam, Ukristu na Utanzania kwani kila utengano huanza na cheche...

msukule bibi yakoYericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.
Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
"Politicians will come to you and pretend they know what they are talking about"-Barack ObamaMungu yuko na Ukawa, naamini ukombozi unakaribia.
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.
Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
Yericko Nyerere ni muongo, hata akisema saa hizi nje kuna mvua ingawa nnaisikia lakini mpaka nikatazame.
Anajidai kuandika kama vile yumo ndani ya hicho kikao. Na misukule inashangilia.
Mkuu serikali sio Uzanzibar, Utanganyika wala Utanzania. Serikali ni chombo kinachoongoza nchi hata Halmshauri ni chombo sio cha UMwanza, Uilala, UShinganya na UKilimanjaro..Hivi huwa mnaamikia wapi kabla hamjatunga vitu hivi..Ndio ukawa tunaunga mkono maoni ya umma kuwa na Shirikisho la serikali tatu, Tanganyika, Zanzibar na Muungano.
CC: Mhariri gazeti la Mtanzania
msukule bibi yako
Ukawa ni chadema,unategemea mgombea atoke CUF?
Aisee! Kumbe hadi Raia Mwema nao wamenunuliwa na CCM?
nmkuu serikali sio Uzanzibar, Utanganyika wala Utanzania. Serikali ni chombo kinachoongoza hata halamshauri ni chombo sio UMwanza, UShinganya na UKilimanjaro..Hivi huwa mnaamikia wapi kabla hamjatunga vitu hivi..
Unaijua haswa maana ya Uzanzibar na Utanganyika?nani ametunga hapa...Kwani Yeriko kuandika ndio watu wamekaa kikao na kutunga
Pole na Ugonjwa wa Chademaphobia
Yericko acha uongo, yalioandikwa na mtanzania ni kweli wala hayana Shaka ya uongo, je barua ya ACT ya maombi imeisha jadiliwa? Unachoongea hapo ni kuwatia moyo wafuasi lakini ki ukweli Hali ni mbaya kuna hatari Leo wakagawana mbao. Cuf wameisha chukua msimamo ni lazima Prof lipumba awe mgombea wa Urais kwa sifa na uwezo alionao vinginevyo asiyetaka ajiondoe