Kutoka Kikao cha UKAWA

Hili nalo unataka tulijadili? Endeleeni kujenga ACT - chama cha mtu mmoja.

Kweli kabisa, hiki chama asipokuwepo huyo mtu basi hakuna mkutano. Wengine wote hawana ushawishi,wamebaki tu kumshabikia na kumtetea mitandaoni.
 
Mkuu kwani maoni ya wananchi waliyotoa kwenye tume ya Warioba kuhusiana na muundo wa serikali yakoje? Na mapendekezo ya tume yanasemaje kuhusu suala hili?

Nachelea kufikiria ur rightly playing in their slogan,umoja wa katiba ya wananchi
 
Huku kwetu ENGUTOTO hawajui UKAWA ndio nini, kuna mwananchi kaniuliza ikabidi nimjibu kuwa ni umoja wa wasaka madaraka kwa kutumia ulaghai!
 
Ukisha yataja makabila tayari umesha watenganisha hakuna udugu pale ni ujirani mwema hata Marekani na Canada wao ujirani mwema hawana udugu. Ukiweza kutenganisha haya itakusaidia katika maamuzi yako ama kujenga hoja..
Ishi wewe wa wapi weweeeee..........Nyerere mwenye alishasema ishatokea hana jinsi ya to turn back years!!ajui hata jina la Tanganyika lilitokea wapi amejaribu kutafuta mpaka leo amekufa anatwambia kwenye hotuba zake ajajua.Sasa kama Wazungu wamekaa zao Ulaya wakachukua kipande cha karatasi wakachora chora mipaka wakasema hapa mpaka hapa atatawala Mwingereza, hapa Mjerumani, na pale mfaransa na mwisho hii ndio mipaka ya mataifa haya kwisnye.

Tumepata Uhuru kama eneo lenye jina Tanganyika, Kenya vivyo hivyo, Uganda, Rwanda, Burundi lakini kiuhalisia hawa watu wana nasaba moja..aina tofauti na wewe unakiwanja chako unachomiliki lakini unamipaka ya himaya kuwa hapo ni kwako uzuiliwi kwenda kwa jilani yako au jamaa yako mwenye kwianja chake ambayo ni himaya yake na wewe huna mamlaka ya himaya hiyo unless uwekwe kisheria na taratibu husika zinazokubalika.

Kwa sura hiyo hata mahusiano ya sura ya umilki wa Kiwanja hayana tofauti na Mataifa yetu haya ya kiafrika.Kenya inapata matatizo na Wasomali wa Galisa sababu pia ni ngumu kwao kuweza kutofautisha kwa uhalisia haswa yupi ni raia wa Kenya na yupi ni raia wa Somalia.

Kwenye makabila huwa hakuna ujirani mwema bali kuna koo na kaya ...habari za ujirani mwema ni lugha ya Kidplomasia lakini ukweli Jaluo Wa Tanzania maeneo ya Buturi na Kowaki ana unasaba na jaluo wa Kogelo Kisumu Kenya.
 
Huku kwetu ENGUTOTO hawajui UKAWA ndio nini, kuna mwananchi kaniuliza ikabidi nimjibu kuwa ni umoja wa wasaka madaraka kwa kutumia ulaghai!
Sasa mjinga hapa nani wewe uliejibu usichokielewa au yule alieulza apate kuelewa?

Kwel vichwa vimeharibika na bangi na konyag.
 
Pole sana hata Zitto aliwahi kuwa Chadema kama unavyodai wewe lakini kumbe alikuwa sumu chui aliyejivika ngozi ya kondoo.

Baada ya kutimuliwa sasa wengine mmeamua kuvua ngozi mliyojivika na kuonyesha rangi zenu wazi, you know there is no way mtasamehewa ndiyo maana mnasema wazi kazi yenu ni kuipiga vita Ukawa na Chadema.

Kama kazi yenu ni kuipiga vita UKAWA well, Ukawa kazi yao kubwa ni kujenga utaifa uliotukuka sio utaifa wa kulazimishana.
 
Kulivua gwanda limelivua maana siwezi ushirikina wenu kila usiku hamlali kazi kuwangia watu.. naipiga vita kweli kwa sababu inapotosha watu na sio Chadema tena bali UKAWA yenye lengo la kutugawa wananchi na siamini katika separation..Kwa hiyo nisome vizuri, na uwaambie wenzako wa UKAWA wanaotaka kugawana ili wavimbe zaidi matumbo yao yasotosheka..nawasikitikia Mbowe na Slaa tu pale maana sikutegemea wanaweza kuuvaa mkenge huu lakini pengine NDIVYO WALIVYO....
 

Intelligent....pure intelligent
 
Unachosema nini, kama hawa watu wana nasaba moja inakuwaje leo wewe unawatenganisha ukidai Muungano hauna faida..Huku unaamini wazungu walitugawa wakatupa majina ya Tanganyika, Kenya Uganda halafu wewe unataka kuyarudisha ya watu kwa kuwaita UTanganyika na UZanzibar badala ya kuyaondoa, hii akili kweli.. Lugha gani unazungumza...
 
Kw hilo mie siko huko nimeshijieleza kwa ufasaha msimamo wangu ukoje rejea uko juu kwenye baadhi ya reply ya thread zako nimekwambia msimamo wangu...

Ila kwa kukusaidia Tanzania ilipata uhuru, na Zanzibar ilifanya mapinduzi hivyo kila kimoja kina historia yake..Waasisi walipoamua kuungana waliungana kuwa Nchi moja Serikali Mbili...........Lakini wassisi hao walipopotea kwenye uso wa Dunia waliobaki kwenye mamlaka ya wakapindua misingi na hatimae kujikuta ndan ya kizungumkuti cha Serikali Mbili Nchi Mbili.

Sasa kwa kuwa binadamu kaumbwa ili awapo ni lazima pia ajishughulishe kupambana na changamoto anazokutana nazo kama sehemu ya maisha yake toka kwa kizazi kimoja mpaka kizazi kingine.Maingiliano yoyote yale iwe yawe ni Imani, Ndoa, Kazi, Elimu nk yana Mitikisiko na Masahibu katika kile Mwalimu alichokiita kupata uimara wa Nyumba ni kutokea kwa mitikisiko ili kutambua Nyufa za nyumba husika zionekane na kisha zizibitiwe kwa kuzibwa na magunia au Nondo. Pia kwa dhoruba hizo uimara wa Msingi wa nyumba Utaonekana mapungufu yake na nyufa za ukutani zitapata utambuzi thabiti na kupewa tiba.

Sasa kwa nyufa hizo za Muungano tiba takayo punguza ulegevu wa nyumba kama si kumaliza kabisa basi ni mfumo wa Serikali Tatu -Nchi moja Tanzania, kama ilivyoshauriwa na tume ya Judge Warioba.

Mfumo-Si UTaifa ............Mfumo ni Muundo....wa kitaasisi......
 

Unayemshabikia usiku na mchana kuliko hata wazazi wako unavyowapenda, Ni MCHAWI wa wachawi, Mganga wake wa kwanza yupo Bariadi Gamboshi, na mganga wa pili yupo Mwandiga Kigoma.

Huyo jamaa ukimtibua anaua mpaka panya na mijusi yote ndani ya nyumba yako.
 
Kuyajua hayo yote ina maana hata wewe mchawi kwa hiyo sina sababu ya kukuamini wewe maana mganga hawi mganga pasipo kupitia Uchawi..Vizuri sana umejitambulisha. Tena basi bora yeye alokwenda kwa mchawi, wewe ndio mchawi unayewajua wachawi na uwezo wao.
 
Kuyajua hayo yote ina maana hata wewe mchawi kwa hiyo sina sababu ya kukuamini wewe maana mganga hawi mganga pasipo kupitia Uchawi..Vizuri sana umejitambulisha..


Usilie Mkuu mliowaita wasaka tonge wanajiuliza uthamani wao Wa ghafla kwenu umekujaje??

Tulifikiri nyie wenye maakili mengi mngeweza simama wenyewe sasa twashangaa mnavyolilia coalition na too locals......
 
Usilie Mkuu mliowaita wasaka tonge wanajiuliza uthamani wao Wa ghafla kwenu umekujaje??

Tulifikiri nyie wenye maakili mengi mngeweza simama wenyewe sasa twashangaa mnavyolilia coalition na too locals......

Mi nashangaa sana eti leo wanaona kuna umuhimu wa kushirikiana na wahafidhina

Kushirikiana na wenye akili ndogo
 
Nilipo ckia habari hizo za uzushi nilijaribu kuwaelewesha .kua kunabaadhi ya magazeti ambayo hayafai kusoma.nikawatajia na nikawaambia wamiliki wa hayo magazeti.ndo walipo amini.
 

Taarifa nzuri sana. Magazeti ya Ccm ni uharo mtulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…