AlifarikiKwani Warumi alipotelea wapi mkuu?
AlifarikiKwani Warumi alipotelea wapi mkuu?
Ayseeee......Alifariki
.umeharibu tayari code zote alizoweka jamaa.Kwamba Samia ni mtoto wa Mzee Mwinyi na Hussein ni mdogo wake
Utakatifu ni UISLAMU na sio Muislamu.Si nilidhani a kwa waislam ni wa takatifu hawazai nje
Hahaha siku hizi mnahalalisha kula kiti moto ilmaradi usile tu hadharani. Ukila kwa kujificha ni halal ukila hadharani ni haramuUtakatifu ni UISLAMU na sio Muislamu.
Kama ambavyo mtu anaweza kusema utakatifu ni kwa ukristo na sio mkristo.
Maana yake dini ndio takatifu na sio yupe anayefuata dini,dini imesalimika lakini mfuasi wa dini anaweza kuwa na makosa mengi akateleza kama binadamu.
Kudhani kwamba muislamu ni mtakatifu ni ujinga wa hali ya juu sana wakati huyu muislamu ni mtu na anaweza kukosea kama binadamu.
alifariki mkuuKwani Warumi alipotelea wapi mkuu?
Daah.. Sikuipata hii sijui ilikuwaje.alifariki mkuu
Hakuna ulichofanikiwa kuficha... upo open sanaNimetafuta neno la kuandika hii habari nimekosa nimewaza nitumie code gani maana maneno yote yatamgusa muhusika na majina yote najaribu kutumia naona yanamdirect muhusika nikaona wacha nitumie neno "shost" Aisee ya Unguja ni mengi kukaa na watu vizuri utajua mengi
Wakuu jambo lenyewe ni hivi kumbe Shost wetu Bi nanihi ni mtoto wa mstaafu (ii) katika ofisi yetu aisee
Ndo najuzwa kuwa shost yule ni mtoto wa mstaafu mmoja hivi (ii) na ni mtoto wake wa ujanani enzi hizo miaka ya 60's
Hii ni siri nzito sana wengi hawaijui lakini hili jambo huku watu fulan na watu wa system hii siri ndo wanaijua Sasa huyu ni mama tofaut na hao wengine
Sasa ndo mjuwe ofisi zetu mbili hapa barani zinamenejiwa na maboss wawili ambao ni watoto wa mtu mmoja tofaut ni mama tu lakini baba ni mmoja
Sasa shost nae mkwe wake kampa nafasi hapa ofisini, na bintiye naye ana kazi kule ofisi nyengine ya mdogo wake upande wa pili wa mto
Mimi sikuzote nakaaga ofsini kila siku sikuwahi kujuwa kwamba hizi ofisi zinaongozwa na watoto wa mtu mmoja....
Mstaafu yule ii enzi hizo ofsini bwana we ndo zamani tulikua haturuhusiwi hata kunywa chai yako ofisini au kupika msosi kazini lakini yule mstaafu ii alipoingia tu mambo yakachange mungu ampe umri kila kitu kikawa permission kudadeki chai ofisini permission, msosi kazini kupika permission, kuja na vitafunwa uuze kwa wafanyakazi wenzio wa ofisi permission basi kila kitu kilikuaga permission enzi hizo ofsini.
Hivyo ndo nilivyojuzwa wakuu usishangae hata birthday au anniversary watu wanapewa hadi magari baba ni baba aisee
My take: Nimetumia code, nimeandika kwa code, ni ningeomba msitaje jina la mtu yoyote ukielewa elezea kicode code maisha yaendelee
Pia hiyo picha haihusiani na habari
View attachment 1979651
Hayo unasema wewe dogo,sipo hapa kufanya mipasho katu.Hahaha siku hizi mhalalisha kula kiti moto ilmaradi usile tu hadharani. Ukila kwa kujificha ni halal ukila hadharani ni haramu
sio wasukuma kweli hao?Aisee bora kuliko Yale madubuwasha yanayo fuga mikono ya sweta
Mambo ya CodeeeNdiyo Umeweka Code Gani? Tumia Radio Call Za PGO Ndiyo Utajua Hizo Code Unapomuita Kiongozi Mkubwa Code Huwa Vp
Hello ...
Hello ...
Over...Kifaru Yupo Karibu.....Over....Tembo...Anapita Salama Kwa Nguvu Ya Tano
Kama nakosea mnaojua mnisahihishe,ila nadhani Warumi hakuwa "bro".Ayseeee......
Rest in power bro Warumi!
Alikuwa broKama nakosea mnaojua mnisahihishe,ila nadhani Warumi hakuwa "bro".
Tatazo nini mbona taarifa hatunaAyseeee......
Rest in power bro Warumi!
Kwamba Samia ni mtoto wa Mzee Mwinyi na Hussein ni mdogo wake
umekuwa very honest na umesema ukweli mtupu. haiwezekani hata siku moja, maisha yote hadi dunia itakapoisha, mtu wa dini hiyo uliyotaja akawa mtakatifu, kwasababu hajampokea aliyemwaga damu yenye uwezo kusafisha dhambi, Yesu Kristo ambaye bila yeye hauwezi kuwa mtakatifu. kwa wakristo tunakuwa watakatifu kwa cover ya Kristo, Mungu akituangalia sisi tuliookoka anatuona watakatifu kwa sisi kujifunika ngao ya Kristo, bila Kristo Yesu hauna nguo ya kujifunika/hauna ngao, Mungu atakuona moja kwa moja na uchafu wako. Mpokeneeni Yesu Kristo, Okokeni, achaneni na miungu isiyookoa na imani ambazo hata kwa akili ya kawaida kabisa ya kibinadamu zinapingana na ukweli, kwa ukombozi wa roho mwili na nafsi. Mungu awasaidie.Utakatifu ni UISLAMU na sio Muislamu.
Kama ambavyo mtu anaweza kusema utakatifu ni kwa ukristo na sio mkristo.
Maana yake dini ndio takatifu na sio yupe anayefuata dini,dini imesalimika lakini mfuasi wa dini anaweza kuwa na makosa mengi akateleza kama binadamu.
Kudhani kwamba muislamu ni mtakatifu ni ujinga wa hali ya juu sana wakati huyu muislamu ni mtu na anaweza kukosea kama binadamu.
Aysee.... Nilikuwa nadhani ni me.Kama nakosea mnaojua mnisahihishe,ila nadhani Warumi hakuwa "bro".