Kutoka Kijiweni Unguja: Shosti wetu ni mtoto wa mstaafu kumbe

Tujiandae kuwa na junior Bt baadae ili kulipa fadhila za kumuweka shosti kua makamu na Kaka yake kua waziri wa ulinzi kwa muda mrefu sana!!!
 
Kudhani kwamba muislamu ni mtakatifu ni ujinga wa hali ya juu sana wakati huyu muislamu ni mtu na anaweza kukosea kama binadamu.
Uko sahihi kama ambavyo ni ujinga kudhani ya kuwa Dini ni takatifu yani ni ujinga mtupu!!!
 
Ndiyo Umeweka Code Gani? Tumia Radio Call Za PGO Ndiyo Utajua Hizo Code Unapomuita Kiongozi Mkubwa Code Huwa Vp


Hello ...

Hello ...
Over...Kifaru Yupo Karibu.....Over....Tembo...Anapita Salama Kwa Nguvu Ya Tano
huwa tunatumia code ya kazi 1 kazi 2
 
Back
Top Bottom