hoja dhaifu kama hizi zinadhihirisha jinsi cdm ilivyo filisika. Baeo sana kuwa na upinzani imara tanzania.
R.I.P Mh. Zitto.
Wewe unaishi Kigoma ya Arusha! Kwa taarifa yako Zitto kwa Kigoma ni shujaa! Anauhakika wa kuupata ubunge akigombea kwa chama chochote kile na kwa jimbo lolote lile!
Wewe endelea kuota ndoto za kujifariji tu! Subirini reactions za wapiga kura ndio mtautambua umuhimu wa Zitto ndani ya hicho chama cha waarusha na wachaga!
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,
Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi,
Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,
Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,
Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wanne
hatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe
Chadema msijidanganye mmepoteza mtu muhimu kuliko mnavyodhania.wacheni ubaguzi mnauwa chama kwamtindo huo wananchi tunaondoka imani na nyinyi afadhali ya ccm kwa mtindo huoMbona CDM imechelewa kumtimua huyu Zito?