Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Mkapa anaonyesha ana hasira anahutubia kwa jazba. jazba zile zaonekana kama kujikosha mbele ya kikwete ili akishinda aendelee kumpa ulaji. DK Slaa alimtaja Mkapa katika kundi lile la List of Shame! kwa hiyo ana hasira naye. Hata akiimbisha nyimbo au akafanuya nini mwaka huu DK. Slaa anachukua nchi bila tatizo
 
Imenisikitisha sana,wazee wenye heshima kubwa sana Ktk Tanzania kuongea pumba na watu kuwashangilia.Watanzania wakumbuke kua ukiona mtu mpaka anasaidiwa kupiga kampeni ujua anaelekea kushindwa.Baada y baada ya uchaguzi hawatamsaidia hata kidogo.Hawajasema ataifanyia nini Tanzania.Tusidanganyike safari hii.Wasstaafu hawa hawajui ugumu wa maisha ya watanzania kwani wao wankula pensheni.Tuachane nao,hawana lolote.Kesho kura zote kwa Dr Slaa,ameonesha dhamira ya dhati kumkomboa mwwananch.JK ameshindwa na akipewa kura maisha yatakua magumu zaidi ya miaka 5 iliyopita.Tusidanganyike safari hii
 
masuala ya kufa mimi si mungu, niambie mgombea mwenza wa CHADEMA anaelimu gani bana.
Leon: Don't worry about Zuma's education


South Africans need not be concerned about African National Congress (ANC) leader Jacob Zuma's low level of formal education, former opposition leader Tony Leon said on Tuesday.

"There is much concern about the fact that the next president of South Africa only has primary school education," Leon told a leadership conference in Sandton, Johannesburg.

"There might be other reasons to express concern about the next president, but actually his educational disadvantage seems to be utterly irrelevant."

Leon, the former leader of the Democratic Alliance (DA), said "character overcomes qualification".

He cited examples of several international leaders who were successful despite a lack of academic qualification, including once US president Harry Truman and former British prime ministers Winston Churchill and John Major.

"All these men, like Zuma incidentally, actually were comfortable in their own skin. They were people who knew themselves and their limitations and therefore they were able to make the right judgement calls," said Leon.

But he added: "I have no idea whether the next president of South Africa will fulfil this requirement."
 
wote hao jangwani nao ni majuha wanakwenda kumsikiliza juha mwenzao na jana ndio ameuthibithishia umma kwamba ni juha

Yaani hao watu wote wamechukuliwa, na kukodiwa magari kutoka huku pembezoni mwa mji. Nasema hivi kwani nimeona mwenyewe kwa macho yangu leo, nikiwa napita eneo la mbagala mwisho, mtu anatupiwa tishirt, anavaa juu ya nguo aliyovaa, nikajiuliza na joto hili si watakufa?, huku magari yale makubwa yote yanayofika mbagala wamewakodishia na kuwapakia.

Kiukweli hao watu hawajui wanachofanya, kama sio malipo ya siku moja waliyopewa leo, basi wengine wanarupurupu yao
 
JK: leo hakuna mchawi hapa, mchawi kafa!!! mmmhh sijaelewa hii statement ina maana gani!!! ndo Mkwere kaanza kwa mbwembwe kweli sijui atamaliza
 
Mmm, Mkapa naye kawaka mpaka kawaita wagombea wote wa upinzani ni kokoto akiwemo Mlima Kilimanjaro Prof. Haruna Lipumba. Hii ni vita si lelemama, kutishia kuondolewa kinga ili upelekwe mahakamani lazima mtu mzima aje juu
 
Kaanza kukunja uso tena. ZILE dalili za kuanguka nadhani ndo zinakaribia, anaweka pause kwa muda mrefu!!!!
 
hahahaha mkapa katukumbusha kumuogopa Slaa kwa kwakuwa anataka kuitumbukiza nchi katika dhambi ya ubaguzi wa dini, imekula kwa hao maaskofu feki

Huyo slaa walomtuma sasa wanamwacha pekee na kesho atabaki na huyo kimada alopora na hiyo dhambi ya udini na ubaguzi iwe juu yake na genge lake
 
Mmm, Mkapa naye kawaka mpaka kawaita wagombea wote wa upinzani ni kokoto akiwemo Mlima Kilimanjaro Prof. Haruna Lipumba. Hii ni vita si lelemama, kutishia kuondolewa kinga ili upelekwe mahakamani lazima mtu mzima aje juu

kwa nini kaja kuropoka siku ya mwisho angeyasema haya mapema FISADI huyu alikuwa amejificha
 
Hawa watu naona wanaongea stori tu, hivi mechi hazijaanza bado tu
 
Back
Top Bottom