hongera mkuu kw akujitambulisha naona umekuwa verified user
Kweli uameamua.
Asante sana mkuu, ila hiyo verified user sio leo tu ni toka siku za nyuma maana nilikuwa natumia Id mbili tofauti ikiwemo na hii ya Barnabas Shadrack.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Mi' nilipokuwa nakutana na jina hilo la ............kabikile,nilijua jina lako halisi laweza kuwa ni kama....Ishengoma,Mutashobya nk..nk.
Ni vizuri sana mkuu kujitambulisha na kujulikana na kuwa wazi kwa mchango yako
Asante mkuu Barnabas Sherrack
Hapo kwenye red naomba nikusahihishe kidogo, ni Shadrack.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Nimesharekebisha mkuu Barnabas Shadrack
Hapo sasa imependeza sana mkuu wangu Mr Rocky.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
pamoja sana mkuuu
karibu kwa michango ambayo ni ya kimaendeleo zaidi
Asante sana mkuu na nimeshakaribia.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Hahahahahahaha, nimedhamiria mkuu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.