Magufuli ni mpango wa Mungu
Lissu akiiona hiyo picha anatamani kujirusha kwenye magorofa ya kwao ubelgiji kwa kuchanganyikiwaMagufuli ni mpango wa Mungu
Tundu yuko karakoo kaenda kununua matumizi yake muhimu nimemuona kwa wasiotaka hata kumsikia wakimsongasongaLisu akiiona hiyo picha anatamani kujirusha kwenye magorofa ya kwao ubelgiji kwa kuchanganyikiwa
Haya Chakwera huyo Chadema mliyekuwa kutwa mnasifia anamsifia Magufuli
Uliza kwanza kwanini hajavaa barakoa kama M7.Mgogoro wa mpaka umeisha???
Helewa kuwa chakwera alikuwa mpinzani miezi 3 iliyopita, wala hawana chakuongea labda kama angekutana na Lissu pamgenoga, Zanu pf ndio size ya ccmLisu akiiona hiyo picha anatamani kujirusha kwenye magorofa ya kwao ubelgiji kwa kuchanganyikiwa
Haya Chakwera huyo Chadema mliyekuwa kutwa mnasifia anamsifia Magufuli
Chakwera alikua Chama tawala wakazembea upinzani ukaingia na kuwavuruga ila sasa wamerudisha dola mkononi.Helewa kuwa chakwera alikuwa mpinzani miezi 3 iliyopita, wala hawana chakuongea labda kama angekutana na Lissu pamgenoga, Zanu pf ndio size ya ccm
Fro the record tu ni kuwa. Acheni kumsingizia Mungu .Magufuli ni mpango wa Mungu
Umeisha tu Machoni mwetu ila Mioyoni mwao Wamalawi bado upo pale pale.Mgogoro wa mpaka umeisha???