yote haya ni jimbo moja tu linagombewa wamemwangia mtu tindikali, wamechoma nyumba za viongozi wao, wameua mtoto wa watu, wametumia udini, leo tunaambiwa chadema inavija kutoka nje ya nchi sijui lipi linafata..bado mnagawa chakula kama rushwa..mnatumia vyombo vya serikali kuihujumu chadema ikiwemo na hiyo tbc lakini wakae wakijua wao wana dola sisi tuna mungu tutashinda...