Mwendeshaji: Mheshimiwa rais watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya kipindi chako cha uongozi?
Rais jk: Wanikumbuke nimewatoa hapa mpaka pale, eeh hapa mpaka pale.
Mwendeshaji: Mheshimiwa rais watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya kipindi chako cha uongozi?
Rais jk: Wanikumbuke nimewatoa hapa mpaka pale, eeh hapa mpaka pale.
2tamkumbuka kututoa kwenye(1)umoja na ushirikiano kwenda udini.(2)kuitoa ccm kama chama cha wakulima nawafanyakazi mpaka kuwa cha wezi,cha familia(3)kuitoa Tz kwenye amani hadi kwenye machafuko.SIO SIRI TUTAMKUMBUKA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.