Kutoka hapa mpaka pale, eeh hapa mpaka pale.

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,081
Mwendeshaji: Mheshimiwa rais watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya kipindi chako cha uongozi?
Rais jk: Wanikumbuke nimewatoa hapa mpaka pale, eeh hapa mpaka pale.

Lol duniani kuna maajabu!
 
Mwendeshaji: Mheshimiwa rais watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya kipindi chako cha uongozi?
Rais jk: Wanikumbuke nimewatoa hapa mpaka pale, eeh hapa mpaka pale.

Lol duniani kuna maajabu!
Swali hilo linahitaji jibu kama hilo!
Swali la maajabu lazima lijibiwe kimaajabu.
 
2tamkumbuka kututoa kwenye(1)umoja na ushirikiano kwenda udini.(2)kuitoa ccm kama chama cha wakulima nawafanyakazi mpaka kuwa cha wezi,cha familia(3)kuitoa Tz kwenye amani hadi kwenye machafuko.SIO SIRI TUTAMKUMBUKA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom