Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,530
- 101,646
Ndo nini kuniambukiza kiu mtakatifu odm asubuhi yote hii?
Tiii kiu yako....si mby ukipata mvinyo asubuhi hii
Ankal umenitenga sana bana. Hizi nyagi huwezi maliza peke yako anko.
ankoo tuonane..bhana "tu tii kiu yetu"....nilipoteza simu kwny hivi vikao vyetu...hebu tupia SMS tupange...mikakati. ..ijumaa leo
Babuuu, msiende na simu basi huko kwenye mitungi.Poa. chapchap sana.
Hawa wenye simu zao wanatutesa sana. Tukibwia mitungi wanachukua simu zao kilainiii
Ndo nini kuniambukiza kiu mtakatifu odm asubuhi yote hii?
Poa. chapchap sana.
Hawa wenye simu zao wanatutesa sana. Tukibwia mitungi wanachukua simu zao kilainiii
Lazma wakati ukiwa seminare ulikuwa unaiba mvinyo chirch. Kwani wewe ulipozaliwa huko maternity ward, walikudumbukiza kwenye pipa?
Hawa wenye simu zao wanatutesa sana. Tukibwia mitungi wanachukua simu zao kilainiii
Ndo nini kuniambukiza kiu mtakatifu odm asubuhi yote hii?