Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu nawapenda wanawake wa Kanda ya Kaskazini

Hata mm nawakubal ila NAWAOGOPA KINYAMAA.Yan duhh siwawez hata robo.Nikiwa chuo nilikua na gfrnd wa kichaga mzur sana na nilimpenda sana na alikua ananipenda mpaka keshoo mwaka wa 6 huu ila moyon nikawa najua kabisa hapa siwez kuji commit hata iwaje...thanks God aliolewa na mm nilishaoa kitambo .na hil likanipa aman atleat sijawawekwa kwe ye kapu la kumharibia maisha.Tuko peace mpaka leo.nawaogopa sana watu wa kanda hii.Sanaaaaaa
uko sahh
 
pallangyo ww si wa kaskazn kabisa ww
Ingetosha tu kusema “ni mfano wa kuigwa” hivyo wanawake wengine waige hizo hustle, ila wao kama wao hawafai kwa matumizi ya ndoa.... uoe demu anakalia mgongo halafu una hofu ya kuaga dunia muda wowote maana yake nini...!!
 
Hilo la kupewa papuchi lina Ukweli ,kila siku ukijieleza kimya,ukiuliza mjibu yangu vipi utaulizwa kwani ulisemeje Jana ? × zote kama huna Nguvu ya kujitetea imekula kwako, mbaya zaidi unakuta Ukweli anakupenda

Ila kwa sasa angalau siyo kama zamani Ndio Maana mabwashe wengi wakijichanganya mini huwa viwembe kweli kumbe kuna Mambo walibaniwa na wenzao
 
Ingetosha tu kusema “ni mfano wa kuigwa” hivyo wanawake wengine waige hizo hustle, ila wao kama wao hawafai kwa matumizi ya ndoa.... uoe demu anakalia mgongo halafu una hofu ya kuaga dunia muda wowote maana yake nini...!!
Kuna watu mna Dhambi🤒
 
Mbona unasahau dada zako aa kimeru, hao pia hawafai kabisa.
 
Hata mm nawakubal ila NAWAOGOPA KINYAMAA.Yan duhh siwawez hata robo.Nikiwa chuo nilikua na gfrnd wa kichaga mzur sana na nilimpenda sana na alikua ananipenda mpaka keshoo mwaka wa 6 huu ila moyon nikawa najua kabisa hapa siwez kuji commit hata iwaje...thanks God aliolewa na mm nilishaoa kitambo .na hil likanipa aman atleat sijawawekwa kwe ye kapu la kumharibia maisha.Tuko peace mpaka leo.nawaogopa sana watu wa kanda hii.Sanaaaaaa
Mkuu woga wako ndio umaskini wako(joking).

Usiogope sana maneno ya mitaani ambayo hujayafanyia utafiti na kubaini ukweli.
Huyo uliyemwacha ulikuwa humpendi awe mke wako, mambo ya ukabila ilikuwa ni kisingizio tu...achana na kitu kinachoitwa MAPENZI ya dhati.

Mtu anawakana ndugu zake, dini yake na hata ukoo wake sababu ya kupenda, sembuse wewe na kabila..kitu kidogo kabisa hicho.
 
Back
Top Bottom