Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 593
- 609
Maombolezo yanaendelea na leo ni siku ya 18. Kwa mujibu wa utaratibu maombolezo yalitangazwa kwa siku 21.Momba hawajasema tuendelee kuomboleza kimya kimya wakati wa kusherekea?
Chama hiki ni Chama Tawala, kiko imara.Chama chakavu
Hapana, sherehe za Pasaka zipo kama kawaida. Jeshi lieleza juu ya shamrashamra za matamasha.Hicho chama si ndio kimekataa...watu kusherehekea???
Hapana, sherehe za Pasaka zipo kama kawaida. Taarifa ya Jeshi la Polisi siku ya jana ilifafanua vizuri.Hatutaki unafiki si mmesema mnaomboleza hakuna sherehe ya pasaka.
Vile vyama vina shida binafsi. Vyama vya siasa vinatakiwa kujijenga na kuwa imara na sio kuibua uzushi kwenye jamii.Kuna vyama vimesahau kama tupo kipindi cha maombolezo
kabisaVile vyama vina shida binafsi. Vyama vya siasa vinatakiwa kujijenga na kuwa imara na sio kuibua uzushi kwenye jamii.
Hakuna aliyenunuliwa. Viongozi hao walipaisha wazi na kuushuhudia umma sababu za msingi zenye kutosheleza akili na ufahamu kwa nini walijiunga na Chama Cha Mapinduzi.Chama cha manunuzi gekul katambi waitara silinde moleli mdee na comp
Kwa sasa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kuwashangaza.kabisa
Umenena vyemaKwa sasa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kuwashangaza.
Hawaamini, Rais anafanya kazi. Wanashangilia sana kazi njema inayofanyika baadaye wanasema ngoja tupinge. Wanashindwa kujua washike nini na waache nini.
Vyama vinatakiwa kupinga kwa hoja za msingi na zenye usahihi.
Asante sana, kwa pamoja tutalijenga taifa letu.Umenena vyema
pamoja sana mkuuAsante sana, kwa pamoja tutalijenga taifa letu.
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho ulio mwema katika hii dunia.Ahsante sana yani hii sherehe jamani, huku kufa kule kufufuka.
Kawadanganye watoto wadogo wa kwanza waitara alipo lipwa kaenda kujenga tarimeHakuna aliyenunuliwa. Viongozi hao walipaisha wazi na kuushuhudia umma sababu za msingi zenye kutosheleza akili na ufahamu kwa nini walijiunga na Chama Cha Mapinduzi.
Fuatilia mahojiano yao utaona.
Tulijenge taifa letu.