RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Kutoka bungeni, Waziri wa Mambo ya Nje, Kikanda na Kimataifa amesema mwanafunzi mmoja inasemekana amefariki huko India kutokana na vurugu walizofanyiwa wanafunzi wa Kitanzania.
Huyu ni mwingine, na si yule aliyevuliwa nguo, na wapo wengine wanne wako hosptali wamelazwa wakiwa na majeraha.
Waziri wa Mambo ya Nje Agustine Mahiga, amesema Ubalozi wa Tanzania India unafuatilia kuthibitisha ukweli wa taarifa hii.