Kutoka Bungeni: June 30, 2011

wasukuma siku zote hawapendi unafiki. ukisikia msukuma ni mnafiki basi ujue huyo ni Mnyantuzu.
Shibuda anatutia aibu Wasukuma! Lembeli siku zote hana unafiki. Ila nina wasiwasi Barrick watamfanyia kitu mbaya jinsi alivyosema Bungeni.
 
Lembeli ni moja ya asilimia 1% ya wabunge wa CCM ambao wanajua nini kimewapeleka Bungeni...naweza kusema kati ya wabunge wachache wa CCM ambao si wa kubebwa ktk chaguzi wanaoangaikia shida za wapiga kura wao..huyu bwana anayo track record nzuri ni bahati mbaya he is on the wrong side of the war.

He is free from servitude he ku-speak his mind freely.
 
Wasukuma walishahama siku nyingi CCM akina Lembeli wako CCM kuzuga tu.Wewe subiri 2015 ndiyo utajuta kuifahamu shinyanga siku hizi huko shy wana-CCM wanavalia sare za magamba chooni wakifika ukumbini lakini kutembea nazo hadharani mwiko.Lembeli 2015 ni CDM, yeye si kama Shibuda wa sitaki nataka
 
Anayoyasema mbunge huyo kwa kiasi fulani yana ukweli ndani yake serikali ilifanyia kazi suala hilo ili kuhakikisha kuwa IGP sasa anatoka Zanzibar
 
sas wewe Nkamia ubunge ndio unakulevya au? hujui sasa ni utandawazi , hebu tupishe wenzako twataka kukimbizana na wakati
 
kaka huyo mbubge naona mimi nimempenda tu kwa quotation yake kuhusu masuala ya maandamano ya cdm anajitahidi kurepresent
 
Mbunge wa kahama james lembeli ameunga mkono migomo na maandamano vinavyoendelea hapa nchini kwa kudai kuwa tanzania sio kisiwa kwa kuwa migomo na maandamano vinatokea pote duniani. Lembeli pia amesema migomo ilikuwepo tangu enzi za mwalimu na kuna watu ambao walichapwa viboko ambao leo hii ni wabunge. Pia kasema inasikitisha wanafunzi wanapanga foleni kwenye benk masaa matatu halafu wakiingia ndani wanaambiwa pesa hazijaingia, katika hali kama hii ni vigumu kwa wanafunzi kukaa kimya hata angekuwa yeye angelalamika. Ameitaka serikali itoe mikopo kwa wakati ili kuepusha migomo. Lembeli pia amewataka wabunge kuacha kujadili mambo ya migomo na maandamano bungeni badala yake waielekeze nini cha kufanya kuliko kunyoosheana vidole. Source: bungeni dodoma.
Kumbe wanajua ila wanaweka pamba masikioni!
 
Nkamia hacha kujidanganya vyombo vya habari haviwezi kudhibitiwa kinachotakiwa ni serikali kushirikiana na wanahabari kwa maendeleo ya nchi,lakini jambo jema zaidi hivi sasa ni uwepo wa on line journalism haina mipaka upo hapo Nkamia
 
“Nilikuwa nazungumza na watu kule Kondoa, nimefanya utafiti kidogo. Sidhani kama wanazidi watu wawili waliopata hizi fedha za Kikwete. Na hata waliopata siyo waliostahili,” alisema Nkamia.
CHANZO: NIPASHE

Awali ya yote kama watu wenye akili tuache kuanzia leo kuita hizo hela za mikopo kama hela za kikwete au mabilioni ya kikwete. Hizi ni hela za serikali ambazo rais aliamua wananchi wakopeshwe.

kama mbunge mwenye akili timamu, akijua kuwa hii ni hela ya serikali na haijatumika vizuri kama ilivyokusudiwa alitakiwa kufanya study na kuleta hoja binafsi kumtaka CAG afanye ukaguzi juu ya mfuko huo, na endapo itaonekana kuna ubadhirifu basi wahusika wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Back
Top Bottom