King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,685
- 68,671
Sasa King Kong eeh,
Jembe lina msaada kwenye kilimo. Njoo bush uone. Mzazi... Kila mtu anajua umuhimu wake, hata awe wa kambo. Mashine ndo usiseme inasimplify kazi.
Haya sasa Jambazi je? Kuna faida au umuhimu? Spika Makinda atueleze kinagaubaga, maana si ajabu wanawatumia kwenye kazi zao hao majambazi kuua viongozi wa upinzani na wananchi. Hakuna cha kumtetea hapa, ajielezee mbele ya watz ana maana gani, kisha aombe radhi. Otherwise ana maanisha majambazi wana faida katika jamii!
Ok Nimekupata mkuu ambae upo mbioni kutoweka!