Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

hakuna mbunge hata mmoja wa chasdema aliyechangia

Magamba bado yanakusumbua, kumbe na wewe upo kwa maslahi ya chama zaidi. mwambie mwanamagamba Ndungai akupe list ya wachangiaji na uangalie mtu wa mwisho kuchangia siku ya ijumaa alitoka chama gani.
Next time ujipange vizuri kabla ya kupost upupu wako hapa
 
Nyie Washamba wa Dar, mtakaa giza hadi lini?

Mwenzenu huku SIKONGE raha kama nini maana nina taa yangu ya Chemli huwa naisafisha saafi kwa Unga na nikiifuta na kitambaa laini, inawaka poa kabisa na hakuna harufu.

Juzi nimeletewa Gererator na mama mmoja kutoka Albania ila inatumia GAS na mie Sikonge gas sina. Kwa wale washamba wa Dar (najua narudia tena neno Washamba wa Dar) basi mnaweza kuinunua kwa bei nzuri tu ili na nyie muwatese majirani kwa makelele.

Uchaguzi ukifika, msiende kupiga kura na hata mkipiga mzidi kuichagua CCM maana vyama vingine ni au Vya Kiislam au vya Kikatoliki kama siyo vya Wachaga. Maadamu hamtaki kutawaliwa na Waislaa au Wakatoliki/Wachaga basi muendelee kufaidi makelele ya Generator au giza la Dar.

Hii Generator nzuri sana maana haina kelele kubwa na wanao watalala swaaafi kabisa kama wangu wanavyofaidi kwenye mwanga wa taa ya chemli. Nataka kununua Karabai maana ile mwanga wake mkubwa zaidi.

Karibuni SIKONGE mkizidiwa giza la Dar. Hivi na Arusha pia? Mwanza pia? Moshi nako? Daahh, Mbeya na Dodoma pia? Kumbe washamba wanaolala gizani wako wengi? Wahini wahini mchangamkie Generator hiyo.

Piga simu Seven foo waa, dabo sero dabo sero, whan whaaa...


Nawashukuru watu wote waliopoteza muda wao ili kuturushia Matangazo ya Bungeni. Mbarikiwe kwa kuweka TAIFA MBELE. Kitaeleweka.
 
Mkuu Edson
Mbona iyo link ulotoa inaitaji password? Baada ya kudownload vlc na kukocopy and paste link yako inataka password na user name! any suluhisho?
 
Anaamini Six atakuwa rais 2015 na yeye atakuwa waziri wa wanawake na watoto.
 

hao wamegawiwa ajali tu! maana tukutuku si mchezo!inahitaji nidhamu ya hali ya juu katika uendeshaji la sivyo unakuwa kilema mara moja!
 

hii generator km itatumia gesi,na tank la mafuta la nini hapo juu?
 
Kwani hujasikia magari yanatumia Gas na Mafuta?

Ila bei ya mafuta kwa sasa utaweza? Itakuwa nimeweka pambo tu nyumbani. Changamkia kama unaweza kununua wese.
hii generator km itatumia gesi,na tank la mafuta la nini hapo juu?
 
Duh, hhii bangi kali Mpwa...haya ya wapi hii? kilombero au Tanga???
 
Duh, hhii bangi kali Mpwa...haya ya wapi hii? kilombero au Tanga???

Umejuaje kuwa ni Bange? Tena unajua hadi inakotoka Kilombero au Tanga???

Hizi Gongo ukichanganya na Bangi kweli ni kasheshe. Si nimeandika kuwa nipo SIKONGE? Unaanza tu kujibu hata hujasoma?

Soma vizuri uelewe na si kudandia Shikansen kwa mbele. Utaishia kupata Mimba ya Radiation kibao.....
 
mikataba tunayoita mikataba hapa TANZANIA ni FRAUD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…